Likes zako zingekuwa ni pesa zingeweza kununulia kitu gani?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Humu wapo members Wana likes 1000 ambazo kiuhalisia zingekuwa pesa zingeweza kununulia vocha ya buku.

Wengine wana likes mpaka milioni 1 huko ambazo zingeweza kununulia smartphone kali.

Mimi likes zangu elfu 20+ ambazo kama zingekuwa pesa ningeweza kununulia hata T-shirt .

Wewe je likes zako zingekuwa ni pesa zingeweza kununua kitu gani?
 
Ndege kwani ninazo 2m+ zenye thamani kama. $
 
Una posts 17,810 halafu una likes 20,000 sawa na likes 1.19 kwa kila post. That’s one of the worst average ever!
Nanunulia Kadet au T-shirt hapo safi.

Kama ni bia napata bia kumi
 
Back
Top Bottom