Auntkuku New Member Joined Jan 2, 2021 Posts 1 Reaction score 1 Jan 5, 2021 #1 Habari zenu wakuu, Naomba msaada kwa ambao walikuwa ndani ya utumishi wakaomba likizo bila malipo utaratibu wake upoje. Kwa maana kwamba naanzia wapi ili nipate na huwa wanatoaga muda gani? (miaka)
Habari zenu wakuu, Naomba msaada kwa ambao walikuwa ndani ya utumishi wakaomba likizo bila malipo utaratibu wake upoje. Kwa maana kwamba naanzia wapi ili nipate na huwa wanatoaga muda gani? (miaka)
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 8,013 Reaction score 14,263 Jan 5, 2021 #2 Mkuu Kwani likizo zingine hujui unaombaga wapi.
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 8,013 Reaction score 14,263 Jan 5, 2021 #3 siku ukijifungua utakuja kutuuliza maternity leave unaombaje