CORAL
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 2,813
- 1,827
Sidhani kama mtoa mada ana mwanafunzi. Angekuwa naye asingeweza kutoa kauli kama hizo. Masomo ya ziada wazazi ambao tupo serious tunayataka. Halafu watoto kuzurura mitaani kuna athari mbaya kimasomo na kimaadili.Hebu tulia kwanza!. Af tuambie unacholalamika ni likizo, Pasaka au Watoto kusoma?
Bora wawe busy shuleni. kumbukeni ile lock down ya mwaka jana kwa sababu ya COVID 19 jinsi wazazi walivyokuwa wanatamani shule zifunguliwe haraka iwezekanavyo. Watoto wengine waliharibika hata shule zilipofunguliwa hawakurudi shuleni. Mimba, kuolewa, kukataa shule, bangi, ni baadhi ya sababu za kutorudi shule.