Likizo siku 60 kisheria imekaaje?

Likizo siku 60 kisheria imekaaje?

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Toka kuumbwa dunia wiki hii ndo nimesikia mfanyakazi anapewa likizo ya siku 60 (ambayo hakuiomba). Maafisa utumishi/wanasheria tusaidieni sisi Ngumbaru
 
Kama Unaweza KufutwA Kazi Ama Kuacha Mwenyewe
Likizo Pia Zipo Unaweza Kupewa Kupisha Jambo Lifanyike (Upekuzi)
 
1. Hatujui kama aliyemwandikia barua ni mwajiri wake (Katibu Mkuu wa Dayosisi) maana yeye kasema kaitwa na msaidizi wa Askofu ambaye kimsingi si mwajiri bali Mchungaji mwenzake tu. Mwenye Mamlaka ya kumuandikia Barua ni Mwajiri wake na si vinginevyo.
2. Technically, Mheshimiwa anatengenezewa "CONSTRUCTIVE TERMINATION" ambayo mbeleni anaweza kutumia hiyo barua CMA.
 
wanachunguza nn?
Confidentiality hzo , sio unauliza uliza as if wanafanya jokes , na inaonekana Unaonyesha kudharau uongozi uliotoa hzo sku 60 , ndio haya haya Kuota mapembe
 
Toka kuumbwa dunia wiki hii ndo nimesikia mfanyakazi anapewa likizo ya siku 60 (ambayo hakuiomba). Maafisa utumishi/wanasheria tusaidieni sisi Ngumbaru
Unaambiwa Askofu ana mamlaka ya kimungu, mpeleke mahakamani uone kama kesi yako itasomwa popote
 
Toka kuumbwa dunia wiki hii ndo nimesikia mfanyakazi anapewa likizo ya siku 60 (ambayo hakuiomba). Maafisa utumishi/wanasheria tusaidieni sisi Ngumbaru
Kuna likizo bila malipo na inazidi hizo siku mpaka hata mwaka
 
Back
Top Bottom