Labda nao wameshaanza likizo tayari... itabidi ujihudumie mwenyewe ukifikaduuuuuuuuu_mpaka sasa ni kappa,..hakuna hata jf member kwenye mikoa tajwa hapo juu.
Haya da canta......ntawasalimia wote,.......usiache kuwasalimia wa moshi ukifika plzIngekuwa mwezi ujao tungekutana mbeya,
Ila kwa sasa tayari nina tiketi ya Dar express ya tar 23/12 kuelekea moshi,
Wasalimie wote utakobahatika kuwaona huko.
Baada ya kubrash na kushona viatu kwa muda mrefu(toka jan........),..sasa nataka nipumzike kidogo.Kuanzia week ijayo ntakua dar then mby...Mungu akijaalia mpaka songea
My concern:...ningependa kukutana na wenyeji wa jf_hasa mby na songea....
nawasilisha wakuu
Ingekuwa mwezi ujao tungekutana mbeya,

duuuuuuuuu_mpaka sasa ni kappa,..hakuna hata jf member kwenye mikoa tajwa hapo juu.