Likizo ya X-Mas

Likizo ya X-Mas

Mkuu kila la heri...tunakutakia mapumziko mema na yenye furaha.mzee wa mia na wengine wamekusikia..hivi ndio umewaaga hivyo wenyeji wa unako brush viatu?....:A S-coffee:

Sijui amemwacha nani kijiweni. Bado sijajua nita brush wapi kipindi uwepo wake utakapohamia mby!
Kaaaaz kwel kwel.......
 
Baada ya kubrash na kushona viatu kwa muda mrefu(toka jan........),..sasa nataka nipumzike kidogo.Kuanzia week ijayo ntakua dar then mby...Mungu akijaalia mpaka songea

My concern:...ningependa kukutana na wenyeji wa jf_hasa mby na songea....

nawasilisha wakuu

kwa hiyo sisi wa Dar ndio hatukutani na wewe.......?

umesahau kuniaga
nakutakia safari njema wasalimie wote
waambie huku tunawatakia x mas njema na mwaka mpya wenye baraka tele
 
duuuuuuuuu_mpaka sasa ni kappa,..hakuna hata jf member kwenye mikoa tajwa hapo juu.

songea mjini au wapi? Njoo mbinga vijijini,karibu na ziwa nyasa ,ukipiga hatuda 10 tu uko msumbiji,karibu sana,njoo na koti mana kuna baridi na mvua zinanyesha kila cku
 
Ingekuwa mwezi ujao tungekutana mbeya,
Ila kwa sasa tayari nina tiketi ya Dar express ya tar 23/12 kuelekea moshi,
Wasalimie wote utakobahatika kuwaona huko.

karibu,tutafutane bas japo tufahamiane tu
 
Mkuu IGWE,
Ngoja nikupe namba ya simu ya bibi yangu wa hapo Mbeya,
Ukifika mwambegele, ushuke na uanze kuelekea katabe huko muulizie bibi ISWELO!!!
NB: Ila lazima uwe unajua kilugha kuongea na ISWELO! :A S-coffee:
 
Sijui amemwacha nani kijiweni. Bado sijajua nita brush wapi kipindi uwepo wake utakapohamia mby!
Kaaaaz kwel kwel.......
Usijali mkuu....vijana bado wapo wanaendelea kuchapa kazi....
 
Baada ya kubrash na kushona viatu kwa muda mrefu(toka jan........),..sasa nataka nipumzike kidogo.Kuanzia week ijayo ntakua dar then mby...Mungu akijaalia mpaka songea

My concern:...ningependa kukutana na wenyeji wa jf_hasa mby na songea....

nawasilisha wakuu

Namimi wiki hijayo nitakuwa ARUSHA then KILIMANJARO kupanda mlima..Naomba wana JF wa ARS na KLM tuonane jamani au niPM
 
kwa hiyo sisi wa Dar ndio hatukutani na wewe.......?

Preta dar ntakuwa busy sana na si unajua jam na joto la huko kwenu dar,...............ratiba inabana sana nikiwa dar...pole sana
 
Mi nawapenda kweli watu wa Moshi, ukirudi niletee maparachichi ya Rombo!!
Asante Kipipi,
Usijali japo kwetu sio rombo but hata kwetu yapo,
Na mie nawapenda watu wa kwenu japo sijui ni wapi lol!
 
Asante Kipipi,
Usijali japo kwetu sio rombo but hata kwetu yapo,
Na mie nawapenda watu wa kwenu japo sijui ni wapi lol!

Asanteee.....mie bora uniletee maparachichi tu! Lol!!! Mi kwetu IPONDAMAFULELA, tunapenda sana watu. Ukipata likizo nikumbushe nikuijie uje ututembelee!
 
Back
Top Bottom