Likizo ya X-Mas

Asanteee.....mie bora uniletee maparachichi tu! Lol!!! Mi kwetu IPONDAMAFULELA, tunapenda sana watu. Ukipata likizo nikumbushe nikuijie uje ututembelee!
Dah!itabidi nije nipajue Kipipi,
Nahisi ni miongoni mwa mikoa mipya,
Ipo upande gani wa tanzania maana hilo jina ni geni sana kwangu lol!
 
Usijali nitakustua,
Ila uwe unakumbuka kuwa nitakustua usije ukastuka kwa nguvu mpaka kila mtu akajua!!(joke)

Usihofu! Nipo imara. Ukikuta nimeshapiga "albam" moja a.k.a vitochi viwili ndio sishtuki kabisa!
 
kwa hiyo sisi wa Dar ndio hatukutani na wewe.......?


Sisi wa hapa Dar anatuona hatuwatapendi wageni! Sawa bana kila la KHERI na mapumziko mema na wenyeji wako huko ufikapo,lakini hata na hapa Dar tulipenda tungesalimia hata!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…