Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna majukumu na unakula kwenu kaa kimya wababa tuongee.Hivi mbona mwezi wa 1 unapewa sifa mbaya hivo,mi naona ni wa kawaida kama mingine tu,cha muhimu tujipange
Mkuu ,kwangu unapaita kwetu ? ,you are not serious at all,kidogo uliposema sina majukumu ulikua unakaribia ,Huna majukumu na unakula kwenu kaa kimya wababa tuongee.