Likizo Zanzibar: Nifikie hotel/lodge gani?

Likizo Zanzibar: Nifikie hotel/lodge gani?

Naon jinsi mnavyomdanganya mwenzenu.
Kwa hiyo budget usije huku wakatati wa krismasi na ukija uwe umepata hotel kabisa na ukiipata usije ukashangaa haina tofauti na zile za elf 15 za Sinza
 
Wakuu, Christmas napanga kwenda kupumzika Zanzibar na familia yangu kidogo.

Sijawahi fika Zanzibar, pia nilikuwa natamani mwaka mpya unikute kule.

Je ni hotel gani au lodge za bei nafuu ambazo naweza kupata? Uwezo wa bajeti wangu ni 50k-60k kwa siku.

Pia maeneo gani mazuri ya kutembelea Zanzibar?

Asanteni sana
Fikia stone town, usiondoke Zanzibar bila kufika forodhani.
 
Back
Top Bottom