Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Boss wacha kuspam hii thread na vitu vya kijinga. Hii ni thread ya Kenyan bridge sio Tanzanian bridge. Anzisha thread yako ya Tanzanian bridge.
Sasa kama huweki picha ya "Likoni: Mombasa Gate Bridge: First Cable Stayed Bridge in Kenya & Longest in Africa"? Hujaacha kwenda **** vichakani tu?Boss wacha kuspam hii thread na vitu vya kijinga. Hii ni thread ya Kenyan bridge sio Tanzanian bridge. Anzisha thread yako ya Tanzanian bridge.