Fateema JF-Expert Member Joined Feb 8, 2024 Posts 654 Reaction score 1,172 Feb 7, 2025 #1 Duh nimesoma hii comment ya LIKUD akielezea hatua aliyo ichukua baada ya mpenzi wake kuja na " behewa" kwenye mtoko nacheka mpaka machozi. Comment yenyewe ni hii hapa chini👇👇
Duh nimesoma hii comment ya LIKUD akielezea hatua aliyo ichukua baada ya mpenzi wake kuja na " behewa" kwenye mtoko nacheka mpaka machozi. Comment yenyewe ni hii hapa chini👇👇
The Legacy JF-Expert Member Joined Jun 1, 2022 Posts 8,698 Reaction score 17,114 Feb 7, 2025 #2 Ndio maaana anatushashiwi turudishe watoto Kayumba Hataki kuongeza kipato anataka kupunguza matumizi
Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 19,749 Reaction score 62,766 Feb 7, 2025 #3 LIKUD
Joannah JF-Expert Member Joined May 8, 2020 Posts 22,721 Reaction score 54,664 Feb 7, 2025 #4 Huyo jamaa LIKUD ana njaa njaa sana hawezi hayo mambo ya,hayo ni mambo ya mzabzab huyo mpenzi ndio angekiona yeye na hao rafiki zake
Huyo jamaa LIKUD ana njaa njaa sana hawezi hayo mambo ya,hayo ni mambo ya mzabzab huyo mpenzi ndio angekiona yeye na hao rafiki zake
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 18,094 Reaction score 27,978 Feb 7, 2025 #5 Kaazi kweli kweli...