Likulalo linguoni mwako- Wachezaji wao wenyewe

Likulalo linguoni mwako- Wachezaji wao wenyewe

Nani atashinda pambano la Jumatano ya Ulaya?


  • Total voters
    1
  • Poll closed .

mwisho2016

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2016
Posts
724
Reaction score
625
Habari Wana JF

Kwa wale wapenda soka, na wafuatiliaji timu yangu siku mbili tatu hizi imeamsha Jambo, si jipya lakini, nauona Kama mtihani mkubwa, kwa kocha na mechi muhimu kwa wakal wa soka Barca.

Haiwezekani Pogba atakiwe, De Gea kukaku, yaaani Ile cream yetu kutajwa kuondoka..naelewa hizi zinaitwa football conspiracy lkn zinaletwa wakati mbaya Sana.

Barca haijawahi kushinda old Trafford. Mechi ya majuzi psycholojikali Wachezaji waliihamishia siku ya Barca. Ikiwa Kuna kupoteza akili zao kwa namna ya siasa siasa imenisononesha Sana.
 
Back
Top Bottom