Lil Ommy atambulishwa rasmi Wasafi FM

Mtangazaji aliekuwa times fm lil OMMY leo ametambulishwa RASMI ndani ya wasafi fm .

Lil OMMY leo anazindua RASMI kipindi Cha THE SWITCH ndani ya wasafi fm.kipindi kitakachokuwa kinaruka kuanzia saa 8 mchana hadi 10 kamili jtatu Hadi ijumaa
 
Wawe makini sana content yao isifanane na Block 89. Maana kama watachokifanya sasa kitafanana na block 89 basi hakutakua na haja ya kusikiliza Block 89 tena maana wasanii wote wa kizazi kipya wanahojiwa The switch sasa block 89 iko kwa ajili ya nani.
Ile block 89 kiukweli huwa siielewi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatimaye yaliyosemwa kuhusu wapi anaelekea mtangazaji wa Times fm yametimia. Muda huu Lil Ommy ametambulishwa ktk redio changa Wasafi Fm.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa kwel ana kipaj ila kwa hapa alpofikia nkajua ameaxhana na Times kapata ata deal la radio kubwa za nje coz ya influence ata ya zile tuzo angeenda kama trace,,soundcity au ata majerlazer radio kumbe ni utumbo wa ulimbuken kafany kuamia ile media ya kupelekwa pelekwa na Anayejiita Chibu wakat Chibu asil is alive......
Mmmmmh napiga mihayo........
Aaaaaaahaaaaaah
Aya naendlea.. Kutoka times na kwend wasaf ni kama umehama kwwny kwnye rod ya kokoto ukaenda ywnye changarawe Depends on his level now ningetarajia kumuona vituo vikubwa sana ya nje..
Kingne boss wa Times alishindwa kutumia ukubw wa tuzo ya Tambwe kuiexpand na kuibrand times sijui anaembea na akili za mkopo badal yake kushindwa kuidefence kamwachia dida na kale kajamaa cha mipasho but anyways mpira pasi alipoondoka tambwe kuna mtu atapata nafas...
Half Writter Full IQ
NB: Solo Thang x Profesa x Afande Sele =
 
Hatimaye yaliyosemwa kuhusu wapi anaelekea mtangazaji wa Times fm yametimia. Muda huu Lil Ommy ametambulishwa ktk redio changa Wasafi Fm.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa kwel ana kipaj ila kwa hapa alpofikia nkajua ameaxhana na Times kapata ata deal la radio kubwa za nje coz ya influence ata ya zile tuzo angeenda kama trace,,soundcity au ata majerlazer radio kumbe ni utumbo wa ulimbuken kafany kuamia ile media ya kupelekwa pelekwa na Anayejiita Chibu wakat Chibu asil is alive......
Mmmmmh napiga mihayo........
Aaaaaaahaaaaaah
Aya naendlea.. Kutoka times na kwend wasaf ni kama umehama kwwny kwnye rod ya kokoto ukaenda ywnye changarawe Depends on his level now ningetarajia kumuona vituo vikubwa sana ya nje..
Kingne boss wa Times alishindwa kutumia ukubw wa tuzo ya Tambwe kuiexpand na kuibrand times sijui anatembea na akili za mkopo badal yake kushindwa kuidefence kamwachia dida na kale kajamaa cha mipasho but anyways mpira pasi alipoondoka tambwe kuna mtu atapata nafas...
Half Writter Full IQ
NB: Solo Thang x Profesa x Afande Sele =
 
Unajua kiasi gani atakuwa anaingiza hapo Wasafi hiv ujiulizi kwanini watangazaji wengi sasa hiv wanakimbilia Wasafi
 
[emoji23] mtazamo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Gef
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…