Lil Ommy atambulishwa rasmi Wasafi FM

Lil Ommy atambulishwa rasmi Wasafi FM

Unajua kiasi gani atakuwa anaingiza hapo Wasafi hiv ujiulizi kwanini watangazaji wengi sasa hiv wanakimbilia Wasafi
Wasafi deal kubwa sasa hivi wanachukua watu wakubwa good ✔️. ila kwenye ile block 89 wangeongeza wengine maana calypCo na yule mwamba mbona Kama wana mihemko mingi sana....Sina wivu na mtu ni mtazamo tu
 
Unajua kiasi gani atakuwa anaingiza hapo Wasafi hiv ujiulizi kwanini watangazaji wengi sasa hiv wanakimbilia Wasafi
Wanakimbilia au Wanafuatwa kusainiwa huko? Alaf watangazaji Wanaenda huko walikua radio ndogo na walikua hawalipwi vizuri, jamaa wanawaongezea Dau kidogo ndo maana inakua rahisi Kuwapata
 
Japo ni mwanamke muwe unatoa heshima kwake,
Salama jabir, mtoto mfupi tii, mtundu, hapaki vipako vingi soni ( na chunusi za kimasihara) mbunifu, rangi ya mtume ( cheupe dawa), anajua kuongea kiswahili cha kihuni na kistarabu.
MUNGU amzidishie kwenye hili, na vingine
Hapa Tz hakuna mtangazaji ..mzuri kama Sam misago awa wengine wanatumia nguvu kubwa kueleweka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa kwel ana kipaj ila kwa hapa alpofikia nkajua ameaxhana na Times kapata ata deal la radio kubwa za nje coz ya influence ata ya zile tuzo angeenda kama trace,,soundcity au ata majerlazer radio kumbe ni utumbo wa ulimbuken kafany kuamia ile media ya kupelekwa pelekwa na Anayejiita Chibu wakat Chibu asil is alive......
Mmmmmh napiga mihayo........
Aaaaaaahaaaaaah
Aya naendlea.. Kutoka times na kwend wasaf ni kama umehama kwwny kwnye rod ya kokoto ukaenda ywnye changarawe Depends on his level now ningetarajia kumuona vituo vikubwa sana ya nje..
Kingne boss wa Times alishindwa kutumia ukubw wa tuzo ya Tambwe kuiexpand na kuibrand times sijui anatembea na akili za mkopo badal yake kushindwa kuidefence kamwachia dida na kale kajamaa cha mipasho but anyways mpira pasi alipoondoka tambwe kuna mtu atapata nafas...
Half Writter Full IQ
NB: Solo Thang x Profesa x Afande Sele =
Mtazamo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasafi deal kubwa sasa hivi wanachukua watu wakubwa good ✔. ila kwenye ile block 89 wangeongeza wengine maana calypCo na yule mwamba mbona Kama wana mihemko mingi sana....Sina wivu na mtu ni mtazamo tu
Upo sahihi sana pale alitakiwa awe jonijo na aliaayah basi ndo ingenoga na akiongeza mtu tofauti na calypco na mtu imara kiukwel me naona mtu imara anakula mshahara wa bure pale Wasafi
 
KWA AKILI YA HARAKA HARAKA NAHISI BLOCK 89 INAENDA KUFA NA WALE JAMAA WATASAMBAA THE SWITCH NA VIPINDI VINGINE.
NAHISI MUDA WA BLOCK 89 KITAANDALIWA KIPINDI CHA USIKU CHA MALOVEEE
 
KWA AKILI YA HARAKA HARAKA NAHISI BLOCK 89 INAENDA KUFA NA WALE JAMAA WATASAMBAA THE SWITCH NA VIPINDI VINGINE.
NAHISI MUDA WA BLOCK 89 KITAANDALIWA KIPINDI CHA USIKU CHA MALOVEEE
Me mwenyewe naona itakuwa hivyo.
 
Upo sahihi sana pale alitakiwa awe jonijo na aliaayah basi ndo ingenoga na akiongeza mtu tofauti na calypco na mtu imara kiukwel me naona mtu imara anakula mshahara wa bure pale Wasafi

Very true, Mtu imara apunguze mihemko na utoto mwingi zaid ya hapo anakula hela ya wasafi bure
 
KWA AKILI YA HARAKA HARAKA NAHISI BLOCK 89 INAENDA KUFA NA WALE JAMAA WATASAMBAA THE SWITCH NA VIPINDI VINGINE.
NAHISI MUDA WA BLOCK 89 KITAANDALIWA KIPINDI CHA USIKU CHA MALOVEEE

Hiyo idea ya kipindi cha malovee hata mi naona hivyo ila wakitaka waboe zaidi basi wathubutu kujaza watangazaji wengi kwenye kipindi kimoja (The Switch). Wale wa block 89 itabidi wagawanywe wapewe vipindi vingine tofauti kama vya jumamosi na jumapili, usiku wasimamie show wengine wa malovee. Yaani hapo lazima show moja ife ili nyengine ipewe uzito, zikienda zote kwa pamoja watafeli mno maana zote zinazungumzia wasanii wa kizazi kipya katika "angle" ile ile ya burudani.
 
Mtangazaji aliekuwa times fm lil OMMY leo ametambulishwa RASMI ndani ya wasafi fm .

Lil OMMY leo anazindua RASMI kipindi Cha THE SWITCH ndani ya wasafi fm.kipindi kitakachokuwa kinaruka kuanzia saa 8 mchana hadi 10 kamili jtatu Hadi ijumaa
the switch ile ya times fm ilikuwaga chini ya cinde king nilikuwaga naikubali sana.
Ngoja nione hii itakuwaje.
Japo huyu jamaa nae yuko poa sana.
 
Hiyo idea ya kipindi cha malovee hata mi naona hivyo ila wakitaka waboe zaidi basi wathubutu kujaza watangazaji wengi kwenye kipindi kimoja (The Switch). Wale wa block 89 itabidi wagawanywe wapewe vipindi vingine tofauti kama vya jumamosi na jumapili, usiku wasimamie show wengine wa malovee. Yaani hapo lazima show moja ife ili nyengine ipewe uzito, zikienda zote kwa pamoja watafeli mno maana zote zinazungumzia wasanii wa kizazi kipya katika "angle" ile ile.
Sikupingi ✔️✔️✔️
 
Jamaa kwel ana kipaj ila kwa hapa alpofikia nkajua ameaxhana na Times kapata ata deal la radio kubwa za nje coz ya influence ata ya zile tuzo angeenda kama trace,,soundcity au ata majerlazer radio kumbe ni utumbo wa ulimbuken kafany kuamia ile media ya kupelekwa pelekwa na Anayejiita Chibu wakat Chibu asil is alive......
Mmmmmh napiga mihayo........
Aaaaaaahaaaaaah
Aya naendlea.. Kutoka times na kwend wasaf ni kama umehama kwwny kwnye rod ya kokoto ukaenda ywnye changarawe Depends on his level now ningetarajia kumuona vituo vikubwa sana ya nje..
Kingne boss wa Times alishindwa kutumia ukubw wa tuzo ya Tambwe kuiexpand na kuibrand times sijui anaembea na akili za mkopo badal yake kushindwa kuidefence kamwachia dida na kale kajamaa cha mipasho but anyways mpira pasi alipoondoka tambwe kuna mtu atapata nafas...
Half Writter Full IQ
NB: Solo Thang x Profesa x Afande Sele =
Kipindi chake pale Times kapewa yule msanii wa Hip Hop aliyekuwa bonge miaka ya nyuma Baghidad
 
Kwa tafsiri rahisi kuanzia alfajiri una kutana na Zembwela na team yake then kitenge ana wa join kwenye magazeti,baada ya hapo Saa mbili kamili sport Arena,Ikiisha una kutana na Dida na Team yake,ukitoka hapo una kutana na Lil Ommy na Team yake hiyo hadi 11 jioni

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom