Lil Ommy atambulishwa rasmi Wasafi FM

Lil Ommy atambulishwa rasmi Wasafi FM

Ukimtoa Mtu Imara nani atatengeneza contents za kipindi?
Hahaha acheni masihala nyinyi mtu imara hayupo pale kwa bahati mbaya muulize Rommy Jones akwambie yale mafilamu yake na kipindi cha Turn up Friday katoa wapi.

Calypso the baddest presenter ever, kile kipindi wakiwa wawili yeye na John ni mauwaji sana, Aaliyah aende Tv tu sema ni jambo gumu maana yeye ni pambo
Basi Kama ni hivyo mtu imara akae nyuma ya camera na kazi make iwe kuandaa content tu ila kwenye utangazaji naona anazingua
 
Jamaa kwel ana kipaj ila kwa hapa alpofikia nkajua ameaxhana na Times kapata ata deal la radio kubwa za nje coz ya influence ata ya zile tuzo angeenda kama trace,,soundcity au ata majerlazer radio kumbe ni utumbo wa ulimbuken kafany kuamia ile media ya kupelekwa pelekwa na Anayejiita Chibu wakat Chibu asil is alive......
Mmmmmh napiga mihayo........
Aaaaaaahaaaaaah
Aya naendlea.. Kutoka times na kwend wasaf ni kama umehama kwwny kwnye rod ya kokoto ukaenda ywnye changarawe Depends on his level now ningetarajia kumuona vituo vikubwa sana ya nje..
Kingne boss wa Times alishindwa kutumia ukubw wa tuzo ya Tambwe kuiexpand na kuibrand times sijui anaembea na akili za mkopo badal yake kushindwa kuidefence kamwachia dida na kale kajamaa cha mipasho but anyways mpira pasi alipoondoka tambwe kuna mtu atapata nafas...
Half Writter Full IQ
NB: Solo Thang x Profesa x Afande Sele =
Mbona kama umeumia sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule anafanya uchambuzi wa sports, yuko sahihi kabisa maana wachambuzi sio lazima wawe na vibe ya utangazaji cha msingi hoja yake iwe na Logic, pia yule hana mihemko kwenye uchambuzi wake.
Vibe ni lazima.
Watangazaji kama Ambangile na Kawambwa wakianza kuzungumza hadi unatamani wasimalize kwa namna wanavyo sherehesha hoja zao.

Momo akianza kigugumizi kingi hadi anaboa, akibishiwa hana uwezo wa kubisha kutokana na mwenzio ataongea maneno 100 yeye ana mawili tu, hakuna media inaweza kumuajiri hata kama angekuwa na masters ya journalism ila yupo pale kwa sababu.
 
Unamsikiliza Geof Lea pia? Yule jamaa ana kigugumizi kiaina kama momo tu sema hajionyeshi
 
Hawa wasafi media wanataka kutuaminisha kuwa wanapata faida kubwa sana katika biashara zao????? Mara wizkid mara watangazaji kama wote wakali tz wanataka kuwaweka pale. Do they make more than others wajuzi mnisaidie tafadhali hizi media zinatengenezaje pesa???? Wasije wakawa wanakula loss huko

Nawapenda Diamond t na wasafi yake ila napenda zaidi reality
Kama kweli watafaidika hongera zao hasa kwa Diamond platnumz mungu azidi kumuongezea
Wasafi for life
Pesa ipo pale wana connection nyingi
 
Kibla..
Calypso humjui yule, she's multi talented presenter hawakumchukua kwa bahati mbaya.
Yani utangazaji wa Calypso ni mara mbili ya Aaliyah kuanzia experience hadi namna ya utamkaji maneno also fluent English ni mbaya sanaaa.
Sikupingi ✔️✔️✔️
 
Jamaa kwel ana kipaj ila kwa hapa alpofikia nkajua ameaxhana na Times kapata ata deal la radio kubwa za nje coz ya influence ata ya zile tuzo angeenda kama trace,,soundcity au ata majerlazer radio kumbe ni utumbo wa ulimbuken kafany kuamia ile media ya kupelekwa pelekwa na Anayejiita Chibu wakat Chibu asil is alive......
Mmmmmh napiga mihayo........
Aaaaaaahaaaaaah
Aya naendlea.. Kutoka times na kwend wasaf ni kama umehama kwwny kwnye rod ya kokoto ukaenda ywnye changarawe Depends on his level now ningetarajia kumuona vituo vikubwa sana ya nje..
Kingne boss wa Times alishindwa kutumia ukubw wa tuzo ya Tambwe kuiexpand na kuibrand times sijui anaembea na akili za mkopo badal yake kushindwa kuidefence kamwachia dida na kale kajamaa cha mipasho but anyways mpira pasi alipoondoka tambwe kuna mtu atapata nafas...
Half Writter Full IQ
NB: Solo Thang x Profesa x Afande Sele =
Wewe ni mwanaume au mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom