Lil Ommy atambulishwa rasmi Wasafi FM

Momo mbona yuko powa.Hata kigugumizi chache sio kikubwa na ana sauti Unique.Mbona kuna watu wanawapenda wale wa Efm wenye masauti ya kukwaruza wale wanaoendesha kipindi cha singeli nadhani ni Fido na mwenzie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Fido na Samio Love ni singeli's expert singeli inataka watu wa aina ile.
Yani ukitengeneza list ya top singeli presenters
1. Fido
2. Samio love
3. Fido
4. Samio love
5. Massawe mtata (kicheko)
6. Fido
7. Samio love
8. Kicheko
9. Kicheko
10. Kicheko.

Ndugu Momo hana chochote ukitaka kujua hana chochote msikilize ambangile na kawambwa
 
Kwa kweli wanaosababisha mlinganisho ni mashabiki wa Wasafi kutaka kuuaminisha umma kuwa Wasafi wamekuja kuizima Clouds...
Ukiona kuna mtu anafikiri hivyo cheka endelea na mambo yako
 
Kwanza ameenda kwenye Redio ambayo ina ukuta mnene wa kufanya kazi na wasanii wote usitegemee wasaniii mahasimu na diamond mfano Ali kiba,Mavoko na Harmonize kuhojiwa pale so itakua ngumu kubalance tofauti na Times kulikua hakuna kubanwa alikua huru sana hivyo kipindi nadhani kitachuja.

Pili kwa mimi nimuonavyo Lily Ommy kwa ukubwa wake alipaswa awe kama Millard ayo awe na platmform yake kubwa tu na kusingekua na sababu ya kuhama Times..najiuliza je ataweza kupost clip zake kwenye channel yake au ndo anaenda kuua keria yake kama ilivyo kwa jonijo .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uendeshaji wa Menejiment za kampuni unaujua kwanza,Usione umaarufu wa Diamond ukajua hela zake ndio zitatosha kuendesha kampuni,
Kwa uelewa wako wewe unadhani mtu anakubari kufanya biashara ya hasara?
Media zinaingiza mkwanja kwa njia tofauti tofauti sio upande wamatangazo tu
 
Kuhusiana ku copy sio sawa .kwa sababu vipindi haviwezi tofautiana Sana .hata radio za nje labda Kenya na sehemu zingine misingi ni ile ile, ni sawa unaposema rnb au hip hop misingi ni ile ile .hata uimbe VP
 
Anaweza kukaa pale wasafi na pia akatengeneza platform ya kwake.kwani kwa Millard ayo ipoje
 
Kuhusiana ku copy sio sawa .kwa sababu vipindi haviwezi tofautiana Sana .hata radio za nje labda Kenya na sehemu zingine misingi ni ile ile, ni sawa unaposema rnb au hip hop misingi ni ile ile .hata uimbe VP
Na hichi ndicho nilichokuwa nakimaanisha.
Kisa Star tv wanatangaza taarifa ya habari hatuwezi kusema wamewaiga ITV
 
Sidhani kama ataweza kuruhusiwa Kupost Kwenye chanel yake, nasikia anakuja Media online kama Ilivyo kwa Millard na akina Dozen, nadhani uko ndo atakua anafanya interview na akina Kiba
 
Kwa hiyo hata nikiorodhesha yote uliyoyahitaji still nitakachokileta tayari umekiita ni uduanzi... Huwa si argue na watu wasio na busara Kama wewe, punguza mihemko then leta hoja sio kuruka ruka na dharau za kipuuzi
 
feyzal nikueleweshe kitu kimoja"maswala mbalimbali yanamitazamo tofautitofauti ,pia kila jambo lina watu Wa pande mbili,walio upande Wa jambo hilo au wataolipinga, so siozambi kuea upande wowote, kwaiyo kutukana watu na kuingiza vyama kwenye maswala ya kutofautiana mitazamo ya kiburudani ni dalili za upumgufu Wa kitu Fulani kichwani
 
Sidhani kama ataweza kuruhusiwa Kupost Kwenye chanel yake, nasikia anakuja Media online kama Ilivyo kwa Millard na akina Dozen, nadhani uko ndo atakua anafanya interview na akina Kiba
Dozen ana Chanel yake

god is good
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…