Lil Ommy atambulishwa rasmi Wasafi FM

Hata wewe kumshambulia mtu kuwa ana chuki eti kwa kuwa ametoa maoni yake tena bila hata kutukana huo upande..itakua fyuzi za kichwa chako zina shida.Ungeheshimu mawazo ya mwingine au ungenikosoa kistaarabu wala tusingefika huku.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa lakini nakwambia mkuu bado hatakua huru..Dabliyusibii kwenye ishu za mpunga hawana mzaha kabisa.
Sidhani kama ataweza kuruhusiwa Kupost Kwenye chanel yake, nasikia anakuja Media online kama Ilivyo kwa Millard na akina Dozen, nadhani uko ndo atakua anafanya interview na akina Kiba

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu unafanya biashara i hope, umeongea kitu cha msingi, uwekezaji eneo la biashara, sio lazima biashara itengeneze faida mwanzo, hata ku break-even ni sawa pia ili mradi isife.
 
Upo sahihi sana pale alitakiwa awe jonijo na aliaayah basi ndo ingenoga na akiongeza mtu tofauti na calypco na mtu imara kiukwel me naona mtu imara anakula mshahara wa bure pale Wasafi
Duuuh!!!!hiyo block 89 nimeangalia walikuwa wanamhoji t.i.d yaan ni upuuzi mtupu hadi aibu nikawa naona mimi mtazamaji .yaan hamna maswali ya maana utasema watu wako kwenye kijiwe fulani.kwa upande wangu jonijoo mwenyewe kipind kimemzidi nguvu kwa sasa hv hawez kutawala kipind yaan kila mtu anabonga kivyake tu .yaan hata tukimleta mammy baby ataweza kuongoza kipindi vizur kuliko hata jonijoo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm vipindi vingi vya mahojiano kukiwa na hosts wengi naona Kila mtu anabonga kivyake tu, redio zote ni hivyo tatizo mnaweka perception kubwa kana kwamba kutakua na miujiza pale wcb...by the way wapo good mm sijaona Jambo la hovyo kusema niwavue nyota
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Just watch that interview ukiweza kuimaliza bila kukasirika ntajua kweli nina expectation kubwa kuliko uhalisia.
They lack leadership kwa mfano clouds adam sometimes ana mizinguo (utan) flan ambayo akizidisha unaona kabisa dozen lazima amtulize .i think jonijoo hana hicho kitu.

pia wana very cheap questions yaani alikuja majani pale hata hawana cha kumuuliza they just guessing the questions mpk majani mwenyewe anawarekebisha coz hakuna mtu mwenye uzoefu na industry ya bongo fleva for maybe 16 yrs kwenye kile kipind.(wanahitaji mtu kama misago au salama mwenye uzoefu coz sometimes wanakuwa kama chelsea utoto mwingi)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwani hao uliowataja walianza na uzoefu?Mbona Mara nyingi tu jonijo anauliza questions mpaka msanii mwenyewe anashangaa umejuaje hili au dah umenikumbusha mbali, mm nachelea kusema ulikua na matarajio makubwa sana.
 
Hapana jonijo ni fundi hapo ndomaana kapewa kipindi Cha pekee yake Cha bartender na kinafanya vizuri Sana na akiwa pekee anafanya vizuri ila anapokutana na hao ndo wanamuharibia.
 
kwani hao uliowataja walianza na uzoefu?Mbona Mara nyingi tu jonijo anauliza questions mpaka msanii mwenyewe anashangaa umejuaje hili au dah umenikumbusha mbali, mm nachelea kusema ulikua na matarajio makubwa sana.
Hapo mtoe jonijo na Aaliyah ndo wapo vizuri ila mtu imara na Calypso wanna utoto mwingi ndo wanaoangusha kipindi.
 
kwani hao uliowataja walianza na uzoefu?Mbona Mara nyingi tu jonijo anauliza questions mpaka msanii mwenyewe anashangaa umejuaje hili au dah umenikumbusha mbali, mm nachelea kusema ulikua na matarajio makubwa sana.
Issue sio kwamba ni mtangazaji mbaya ila analack leadership character ndo maana kwenye bartender yuko peke yake anaweza kukihandle vizur.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii interview nilionaga nikashangaa mbona wanaouliza hawafahamu kabisa wanachokiuliza wanauliza vitu tofauti.sijawahi kuwafutalia tena hawa jamaa.

Kila wakati P Funk alikuwa anawarekebisha.

Wakati lil omy alimuhoji master j yaani mpaka unaona kabisa lil omy ana ufahamu alikuwa anachimba, mj akawa anaelezea vitu technique.
 
Kibla..
Calypso humjui yule, she's multi talented presenter hawakumchukua kwa bahati mbaya.
Yani utangazaji wa Calypso ni mara mbili ya Aaliyah kuanzia experience hadi namna ya utamkaji maneno also fluent English ni mbaya sanaaa.
 
Kibla..
Calypso humjui yule, she's multi talented presenter hawakumchukua kwa bahati mbaya.
Yani utangazaji wa Calypso ni mara mbili ya Aaliyah kuanzia experience hadi namna ya utamkaji maneno also fluent English ni mbaya sanaaa.

Bro sikupingi wala simpingi mtangazaji yoyote pale sababu wanakomaa ili mkono uende kinywani ila hiyo point yakusema Calypso anapiga ngeli fluently noo bana labda kama hufatilii pindi alikuja tanasha pale walitafutana kila saa unasikia tu bango nikubwa bango nikubwa bango nikubwa 🤣🤣🤣
 
Umeanza kumfatilia akiwa Wasafi ndio maana.
Content ya kipindi cha Block 89 ni mtaa yani slangs kwa sana mfano Bango limewasha taa, babaako, mitaa imetulea, tunakalisha matembo, chapa the ting do you see yani ukiwa mzee wa macadet (baadhi) wale wakujifanyaga wazee huwezi kuelewa kitu na utaona ni upuuzi.

Kuumbe hujalengwa wewe we kasikilize bakurutu walengwa ni miaka 16-35 tena inawezekana nikawa nimezidisha maana hata XXL waliwahi kusema wao wasikilizaji wao waliowalenga ni 16-29 wengine No kuna jahazi na vipindi vingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…