feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
Hata wewe kumshambulia mtu kuwa ana chuki eti kwa kuwa ametoa maoni yake tena bila hata kutukana huo upande..itakua fyuzi za kichwa chako zina shida.Ungeheshimu mawazo ya mwingine au ungenikosoa kistaarabu wala tusingefika huku.
Sent using Jamii Forums mobile app
feyzal nikueleweshe kitu kimoja"maswala mbalimbali yanamitazamo tofautitofauti ,pia kila jambo lina watu Wa pande mbili,walio upande Wa jambo hilo au wataolipinga, so siozambi kuea upande wowote, kwaiyo kutukana watu na kuingiza vyama kwenye maswala ya kutofautiana mitazamo ya kiburudani ni dalili za upumgufu Wa kitu Fulani kichwani
Sent using Jamii Forums mobile app