Lil Ommy siyo mjanja...Mshamba anaye brag brag tu..!

Ila ni kweli jamaa n mkali wa interview tu,
Ila show zima anaboronga tu,
Tukajua atawafunika Xxl lakin hmna kitu ,

Afu anapend kuvaa kisukuma marangi rangi)
Ungeweza tu kutoa ushauri wako bila kutaja kabila pendwa.
 
Mshaurini ukweli bhana, aache ukolo ajifunze kwa Ray Mshana.
Ache nini? Sijasikiliza radio mda ila ukitaja radio tatu zinazo sikilizwa ktk mikoa ya Wasafi inapopatikana basi Wasafi fm pamoja na uchanga wake imo ndani ya tatu bora.

Sasa nyinyi endeleni kuponda yeye ndio ubunifu wake hata akitaka KUVAA MSULI mwacheni,kwani haihathiri kazi yake.
 

Kama hujasikiliza radio unapata wapi mshipa wa kubwabwaja namna hii?

Watu kusikiliza hiyo uliyoitaja ni kwa mvumo tu, zingatia watu wengi ni wasiojua kipi ni kipi.

Kuwa radio pendwa hakuifanyi kuwa radio bora, hata hivyo mlengwa hapa ni Omari Tambwe apokee ushauri au upuuze tu.
 
times unaifananisha na wasafi...?
Yan times ni bora kuliko wasafi...?
Sijamaanisha ivyo jomba kumbe akil yako iko nyuma sana Nilimaanisha aende media Kubwa Sio lazma tz kuna media za burudan ambaz kwa kupitia cv yake ingembeba ss yy ni kama mchezaj kutoka Kagera kwend KMC kujiona umegrow kisa 200K na Pia ipo Dar Big No...Tambwe bado sana U know what am say
 
Mzigo unaingia mwisho mwezi na deals za kutosha pembeni,hao walio mwona wanatosha kwani huwezi kupendwa na kila mtu.

Halafu why now,mbona kipindi kile alivyo kuwa Times Fm sikuzisikia hizi lawama au labda kwa kuwa sasa yupo Wasafi fm?
Kipindi yupo times ulikua unamsikiliza kweli mdau??? Wengi walikua wanafuatilia interview zake na wasanii huko youtube na ndio zilizompa umaarufu so hawezi pata izi lawama anazopata hapa......
 
Kipindi yupo times ulikua unamsikiliza kweli mdau??? Wengi walikua wanafuatilia interview zake na wasanii huko youtube na ndio zilizompa umaarufu so hawezi pata izi lawama anazopata hapa......
Sasa kuna tofauti gani kumfuatilia youtube na kwenye radio,kwani huyo Jonijo Youtube sio ndio iliyo mkuza na kumpa jina mpaka Wasafi wakamwona na leo hii yupo Efm.

Youtube na radio zote media cha msingi unatakiwa ukipewa platform yoyote haijalishi ni type ipi ya media wewe onyesha uwezo wako.
 
Kwani wewe ubora unaupima vipi?

Na redio pendwa unaipima vipi?

Mbona Takwimu hizi zishawahi kupostiwa Na Majizo pamoja na Diamond ktk acc zao za Insta,ndio si sikilizi redio lakini takwimu zinasema hivyo.
 
Kwani wewe ubora unaupima vipi?

Na redio pendwa unaipima vipi?

Mbona Takwimu hizi zishawahi kupostiwa Na Majizo pamoja na Diamond ktk acc zao za Insta,ndio si sikilizi redio lakini takwimu zinasema hivyo.

Jikite kwenye mada, usihamishe magoli... Tambwe ni mshamba aliyechangamka.
 
Jikite kwenye mada, usihamishe magoli... Tambwe ni msukuma aliyechangamka.
Nani kaamisha magoli,nimekuliza kile ulicho ongea wewe,ina maana hata unacho kiongea wewe hujui,umeshindwa kutofautisha radio bora na pendwa.
 
Unaugomvi nae hakika,ama ni chuki binafsi.
Leo ijumaa bana na uyo ni muislam shida nini apo kwenye mavazi?
ndio maana ya jf bro, Yani ukimchukia mtu, ukiwa na Biff naye, ama akikukera unafungua account jf, halafu unampakazia mbaya, make sure unaiweka kiudakudaku ndio watu wataipenda na wataiamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…