Lil Ommy siyo mjanja...Mshamba anaye brag brag tu..!

Lil Ommy siyo mjanja...Mshamba anaye brag brag tu..!

Mkuu ID yako inasema niagize chochote nami naomba kwa mpalange huko kweny joto tafadhal
 
Omari tambwe aka Lil Ommy kiukweli anacheza chini ya kiwango sana. Show za mchana zina taka presenter mwenye swaga ..mjanja mjanja.

Omari siyo mbunifu.. Hajui hata kuvaa.. Anavaa utadhani yupo ofisini ya serikalini au misikitini.. Acha brag brag.

Bado combination ya Adam, b12, fatuma na ncha kali haijawahi kutokea.!! Ommy ni overrated tu.. Jonijo yupo vizuri sana... Si umeona kipindi lao empire na twelve linavyo songa.

Sina chuki na Ommy sema jamaa inabidi akae kijanja siyo kifaza.

Sina
Katika watangazaj wa yoo yooo walio grade ya mwisho tz ni uyu jamaa.kuna kpnd alitetea tuzo ya mtangazaj bora africa nikajua apa ndio katusua i mean ataenda radio kubwa kutokana na hyo cv kubwa aliyomake mxiuuu kumbe ni utumbo tu Yaan ni sawa na kama mcbezaji kutoka Namungo kwend Coastal Au Kmc then unajipongeza umefany move nzuri...

Au labd ni lugh ilimwangusha maan najua baadh ya watu wa tbr hawaendag shule
Jamaa ashachuj na ashazoelek sana "you knw wati amu seyi"
 
Hater ana hate!! Hapo ungeandika zaidi ungeponda hadi mmiliki wa radio!!
 
Maisha yalivo na unafiki ukute ni mfanyakazi mwenzake kwenye kipindi ndio kaona amlipue hapa jf afu wakiwa wote anamchekea
 
Lili ommy na masweta yake afu anageuza kofia yake kinamna fulani hivi swaga za tabora hizo
 
Back
Top Bottom