Lil Wayne ndie aliemsafishia njia na kumwangazia Mwanga Bibie Nicki Minaj kwenye Ulimwengu wa Muziki.
Lil Wayne, Mchango wake ni mkubwa sana kwenye Mafanikio ya NICKI MINAJ.
WADAU wangu wema Kesho sitokuwepo pande hizi za JF.
Mungu akipenda, tutakutana tena Kesho kutwa kwa mara nyingine tena.
Nawapendeni sana,
Mbaki Salama, na AFYA tele