Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi viatu ni vya watu wenye jina la mleta mada
Fashion tu hakuna kingine cha ziadaMuda si mrefu vijana wetu wataiga na kuanza kuvaa.Juzi kwenye Monday night raw Seth Rollins alivaa hayo madude.Kwangu Mimi hayaleti sense,ni viatu vya kuzuia tope au ni fashion tu?
Uuu Sasa ni uhuni....sio fashion,😆😆😆😊😊🤓🤓😀😀😃😃🤣
Nimemwona Eric omondi na kauli yako hapo juu nimecheka kama mtoto...Na akataye nunua naye ni mwehu
Ova
Hii Kwa pesa ya madafu ni takribani laki 8 na ushee....😊😊😊Dola 350 + dola 20 ya kutumiwa unavipata hapohapo ulipo hata kama upo Mbamba bay