Lile basi la Simba Marcopolo G8 linafika lini? Au ndio kawaida ya ahadi hewa?

President of China

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
34,781
Reaction score
94,550
Zile mbwembwe za muwekezaji wa jezi, kujenga uwanja, mabweni na Basi la kisasa zimeishia wapi?

Misifa mingi na kujipa promotion. Hawa watu wanazitumia timu hizi kwa manufaa yao.

Ahadi kibao, hakuna hata nukta ametimiza. Pesa za kwenye makaratasi tu. Hazina ukweli.
 
Ile ndio style inayotumiwa na wajanja wa mjini kupata kandarasi za kibiashara kwa Taasisi zisizo jitambua.

Zile Swaga za mwekezaji wao mpya hazitekelezeki ata angekua Mwarabu Tajiri wa Man City Sheikh Mansoor hawezi kuahidi vitu vya kipuuzi na uongo wa Kariba Ile.

Maigizo kama yale yanapatikana u mbumbumbu ni tu.
 
Inabidi zitengenezwe sheria kali sana. Yani mtu anatoa ahadi zaidi ya 10. Ahadi zote hewa
 
Tumuulize kispika
 
Attachments

  • Screenshot_20250614-214617.jpg
    Screenshot_20250614-214617.jpg
    352.3 KB · Views: 31
Zile mbwembwe za muwekezaji wa jezi, kujenga uwanja, mabweni na Basi la kisasa zimeishia wapi?

Misifa mingi na kujipa promotion. Hawa watu wanazitumia timu hizi kwa manufaa yao.

Ahadi kibao, hakuna hata nukta ametimiza. Pesa za kwenye makaratasi tu. Hazina ukweli.
Wameshapigwa wanaugulia kimya kimya🙌🤣
 
Back
Top Bottom