"Lile jambo letu" ni moja ya kauli ninayoichukia sana

Hivi tuna kumbukumbu ya Magufuli kuongeza mishahara?
 
Achana na mambo ya kauli mkuu Subiri. Mishahara imeongezeka au haijaongezwa? Subiri
Achana na mambo ya kauli mkuu Subiri. Mishahara imeongezeka au haijaongezwa? Subiri
Hiyo subiri haina timeframe,yawezekana ikawa had I MayDay 2023!Kama mwaka 2021 alisema ataongeza mwaka huu kwa nini tena kusubirishana?Mfumko Wa being za bidhaa zote haukusababishwa na kupanda kwa mishahara for 7 years.
CCM mnashangilia vitu ambavyo havipo.
 
Mkuu nitake radhi.Mimi nafanana na CCM?Unaniharibia Eid yangu mkuu!
 
Watanzania wote wanafanana. Viongozi wa wafanyakazi, wafanyakazi wenyewe na serikali yao... wote hawana tofauti. Wote wababaishaji tu. Subiri sasa 2025 watakavyotumika kuiba kura kwa ajili ya CCM. Akili zao sijui wanatunzia wapi!!
Mmepigwa changa la macho wafanyakazi wa Tanzania . Kwanza hamjielewi kabisa. Labour day ni siku ya KUDAI maslahi yenu bora siyo siku ya kujikomba na kubembeleza uteuzi
 
Wakuu ndio tupo tunamalizia hesabu soon,kazi imekuwa kubwa ila tuna imani tutaimaliza kwa wakati..,, subirini Ongezeko linakuja... Endeleeni kula sikukuu mkiwa na amani...
 
Ukishakubalishwa kumuita mtu Mama, anaweza kukulainisha vyovyote vile ukakubali kama "mtoto mzuri".
 
Kosea Kuoa /Kuolewa Mtaachana
Ukikosea Kuchagua Ni Mpaka.....
 
Mama anatupia mpunga wa kutosha. Sio increment, ni addition.

Mwaka 2015 jakaya aliongeza kwangu 13%!

Mama hata akishauriwa vibaya na akina mwigulu haitapungua 8% nyongeza.
 
Walioambiwa hivyo kisha wakashangilia ndiyo wajinga zaidi ya mara 2
 
Mimi ndo mpiga mahesabu aliyenitaja, kiufupi siikamilishi kazi hii leo wala kesho. Ma baba na ma mama mazima mnaishi kwa kutegemea mshahara ..... Kufeniiiiiiii.... tena kifo cha mende.
 
Mimi ndo mpiga mahesabu aliyenitaja, kiufupi siikamilishi kazi hii leo wala kesho. Ma baba na ma mama mazima mnaishi kwa kutegemea mshahara ..... Kufeniiiiiiii.... tena kifo cha mende.
Ingekuwa mshahara hauna maana kwenye barua ya contract usingetajwa
 
Punguza upumbavu mkuu, ingekuea ujinga ningekulipia ada ukautoe
 
Sidhani Kama wew ni mtumishi wa umma, kwa kipindi kifupi serikali ya Awamu ya 6 imelipa arrears za muda mrefu, imepandsha/inapandsha madaraja mpaka Sasa watumish wa umma wote wenye sifa wanapata madaraja, naweza kusema aliyoyafanya tu kwa muda mfupi kwa ss watumishi yametufanya tuwe na Imani kubwa Sana na MH. RAIS SSH.πŸ™πŸΌ
 
Mambo ya Tivu ake hayoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…