Rozela
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 845
- 2,235
Rejeeni magoli mawili aliyofungwa kwenye mechi kati ya Coastal Union na Simba, ni kama la jana tu, anajitahidi kujiweka kwenye kiwango ambacho hana, matokeo yake anagawa uroda kirahisi.
Hongera Chasambi, wewe na Bacca wa Yanga ni mabeki wenye magoli NBCPL. Keep it up bro.
Hongera Chasambi, wewe na Bacca wa Yanga ni mabeki wenye magoli NBCPL. Keep it up bro.