Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Sisi WanaCCM tumezoea kusombwa na malori kwenda kupokea viongozi wa kitaifa wanapokuja kufanya ziara za kichama hata kiserikali.
Baada ya uminywaji wa demokrasia kwa miaka zaidi ya 8, hatimaye vyama vya siasa vimeruhusiwa kuanza kufanya shughuli zao kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi.
Wanasoasa walioenda ukimbizini wameanza kurejea nchini. Ukimbizi wao umetokana na ukweli usio na shaka kuhusiana na tishio la maisha yao ambapo vyombo vya dola havijawahi kukanusha tuhuma hizo dhidi yao
Jana tarehe 01 March 2023, mwanasiasa mwandamizi wa CHADEMA ndugu Godbless Lema amerejea kutoka Canada alipokimbilia yeye na familia yake kunusuru maisha yao dhidi ya risasi zilizonunuliwa kwa kodi ya watanzania zisije kutumika dhidi yao.
Mapokezi makubwa yameshubudiwa na hakika tumeona nyomi lisilo na mfano kwenye mapokezi hayo.
Kwa sisi wanaCCM hasa nyie viongozi mlioingia madarakani kwa rushwa, tunajifunza nini kuhusiana na mahaba ya kisiasa ya wananchi wanayoyaonesha kwa chama cha CHADEMA.
Mimi binafsi yangu naunga mkono maneno ha mwanaCCM mwenzangu Dkt. Slaa kuwa CHADEMA wameiva na kukomaa hivyo wakipewa nchi itakuwa kwenye mikono salama...