Mkuu makolo washakubali yaisheeKiwango cha Yanga kimebezwa humu kwa maneno mengi mno mara bahasha mara Tp Mazembe na Real Bamako ni timu mbovu subirini muone kitakachowakuta kwa Monastir. Leo ndio siku yenu mliyotaka kujua mbivu na mbichi, nadhani mmepata jibu. Lile shati la jana lililokaa golini laiti lingekuwepo leo sijui ingekuaje
Sizitaki mbichi hiziKwani simba na yanga wapo kwenye michuano sawa? Na kama hawako michuano sawa naomba kujua ni kwanini
Nyinyi ndiyo aina ile ya mashabiki ambao Rage aliwaita mbumbumbu.Kwani simba na yanga wapo kwenye michuano sawa? Na kama hawako michuano sawa naomba kujua ni kwanini
Tupe takwimu za mechi ya leo tuone shot on target ziko ngapiKiwango cha Yanga kimebezwa humu kwa maneno mengi mno mara bahasha mara Tp Mazembe na Real Bamako ni timu mbovu subirini muone kitakachowakuta kwa Monastir. Leo ndio siku yenu mliyotaka kujua mbivu na mbichi, nadhani mmepata jibu. Lile shati la jana lililokaa golini laiti lingekuwepo leo sijui ingekuaje
Let timu yako ujionee maana ya kukamilisha ratiba, kila atakayekuja mbele yetu kikombe kinamsubiriaMonastr kaja kukamilisha ratiba tu na anaonekana kabisa,so usijidaiiiii
huku pagumu siunaona mlinyofolewa mapema.hayo ya moto ni mind game tu.Hongera kwa kuwa na kombe la maluza. yaani unasema kabisa sio kugumu wakati umeishia tu robo na mkaharibu uwanja wa watu kwa kuwasha moto uwanjani ili tu mfuzu.
Mugalu aliikosti sana yule mbwa.Kama pa rahisi kilichokufanya usifike fainali ni kipi?
Shots on target mmepiga 5 tu sasa cjui mnataka iwe vipi manake mnataka kujilinganisha na mnyama ila takwimu zinakataaKiwango cha Yanga kimebezwa humu kwa maneno mengi mno mara bahasha mara Tp Mazembe na Real Bamako ni timu mbovu subirini muone kitakachowakuta kwa Monastir. Leo ndio siku yenu mliyotaka kujua mbivu na mbichi, nadhani mmepata jibu. Lile shati la jana lililokaa golini laiti lingekuwepo leo sijui ingekuaje
Shots on target mmepiga 5 tu sasa cjui mnataka iwe vipi manake mnataka kujilinganisha na mnyama ila takwimu zinakataa
Watoto wako wasiridhi Akili zako lasivo watakua vilaza kukuzidi weweKwani simba na yanga wapo kwenye michuano sawa? Na kama hawako michuano sawa naomba kujua ni kwanini