Lile pazia la jana lingekuwepo leo hali ingekuwaje?

changaule

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2020
Posts
6,039
Reaction score
10,151
Kiwango cha Yanga kimebezwa humu kwa maneno mengi mno mara bahasha mara Tp Mazembe na Real Bamako ni timu mbovu subirini muone kitakachowakuta kwa Monastir. Leo ndio siku yenu mliyotaka kujua mbivu na mbichi, nadhani mmepata jibu. Lile shati la jana lililokaa golini laiti lingekuwepo leo sijui ingekuaje
 
Mkuu makolo washakubali yaishee
 
Monastr kaja kukamilisha ratiba tu na anaonekana kabisa,so usijidaiiiii
 
kwa maluza sio kugumu mbungi ipo huku champions kwa wakubwa.
Hongera kwa kuwa na kombe la maluza. yaani unasema kabisa sio kugumu wakati umeishia tu robo na mkaharibu uwanja wa watu kwa kuwasha moto uwanjani ili tu mfuzu.
 
Kiwango cha Yanga kimebezwa humu kwa maneno mengi mno mara bahasha mara Tp Mazembe na Real Bamako ni timu mbovu subirini muone kitakachowakuta kwa Monastir. Leo ndio siku yenu mliyotaka kujua mbivu na mbichi, nadhani mmepata jibu. Lile shati la jana lililokaa golini laiti lingekuwepo leo sijui ingekuaje
Tupe takwimu za mechi ya leo tuone shot on target ziko ngapi
 
Kiwango cha Yanga kimebezwa humu kwa maneno mengi mno mara bahasha mara Tp Mazembe na Real Bamako ni timu mbovu subirini muone kitakachowakuta kwa Monastir. Leo ndio siku yenu mliyotaka kujua mbivu na mbichi, nadhani mmepata jibu. Lile shati la jana lililokaa golini laiti lingekuwepo leo sijui ingekuaje
Shots on target mmepiga 5 tu sasa cjui mnataka iwe vipi manake mnataka kujilinganisha na mnyama ila takwimu zinakataa
 
Kuna timu ya hapa Bongo imetinga robo fainali kwa kishindo lakini mashabiki wake hawana furaha!

Watapigwa kama ngoma robo fainali!
 
Tunakurupuka na kuandika Nyuzi za Ajabu ajabu.

Pole sana Jamii forum.
 
Upo kombe la afutatu unapiga kelele...Unatongoza darasa la vilaza
 
Attachments

  • 20230318_222836.jpg
    20230318_222836.jpg
    44 KB · Views: 2
Shots on target mmepiga 5 tu sasa cjui mnataka iwe vipi manake mnataka kujilinganisha na mnyama ila takwimu zinakataa
Screenshot_20230319-220530_Chrome.jpg

SIMBA SC

Screenshot_20230319-220459_Chrome.jpg

Haroya AC

Screenshot_20230319-220655_Chrome.jpg

Young Africans SC

Screenshot_20230319-220727_Chrome.jpg

US Monastri

Kwenye website ya Footbal Data Base kwa bara la Africa
US Monastri wapo nafasi ya 28
Simba nafasi ya 118
Horoya nafasi ya 171
Yanga nafasi ya 396
 
Back
Top Bottom