Lile pira sisi hatujazoea

Lile pira sisi hatujazoea

Pamoja na Kocha,. Tatizo kubwa la timu yetu, ni viungo wa kati, Mzamiru na Kanoute wanapambana lakini uwezo wao unatia mashaka!
Tatizo hili ni la miaka misimu mitatu Sasa , wanao sajili wameshindwa kulitatua!
Tumesajili washambuliaji wengi kwingine tukasahau!
Timu Bora inajengwa na viungo na beki line!

Mshambuliaji anaweza kuwa Moja
au
Wanaojuq mbinu za kucheza mpira kuringana na mfumo wa mashindano wanemuelewa Robatn.
Gemu ilichezwa kwa mbinu kubwa ya mashindano ya mtoano.
 
Simba Ina alama yake ya uchezaji. mpira wa chini, kumiliki kiungo sielewi tatizo ni uwanja au upangaji wa kocha.
 
Back
Top Bottom