Lile tamko la RC Makonda kuhusu mashoga katika mkoa wake limeleta mabadiliko yeyote katika swala hilo?

sodoma na gomola ya kuuwa wapinzani?

muogope mungu wapi alipo Azroy na Ben?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
njia pekee ya kukomesha ushoga ni kulea watoto wa kizazi chako vizuri.
Hi nchi bhana back tu.mbona ukiisoma barua ya USA ineleweka hii ya ushoga iko wapi.kwa Nini watu wauawe,watekwe na kuteshwa .Mungu alimtuma Mussa kwa Farao baada shida kubwa ya Israel mbona simuoni Mussa .......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…