Lilikuwa ni suala la muda tu. Sasa hivi yu kiganjani mwangu

Lilikuwa ni suala la muda tu. Sasa hivi yu kiganjani mwangu

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Zamu yangu ya kutesa imewasili. Binti flani hivi rangi ya chocolate, mwenye macho fulani hivi ya huruma, mtu wa kujishughulisha sana mara nyingi nalimuona katika hali ya u-busy, hakunipatia salamu tena tokea ile siku niliyomsifia kuwa anavutia

Basi bhana, kwa kuwa nilikosa muda wa kuonana naye kutokana na nzi wengi kujaa kwenye uvaranda wa nyumba aliyoishi, niliamua kujikatia tamaa. Kilichobakia ilikuwa ni kumlia tu nyeto huku nikimtazama kupitia dirisha la chumba changu, macho yangu yakiyalekea mapaja yake yalioonekana sawia pale kwenye uvaranda wa mahala alipoishi

Ikafikia hatua hata kupanda mnazi sitamani tena, ni mwezi sasa umeisha. Ndugu, jamaa na marafiki zake wananiita shemeji, baada ya kupeleleza nakuja kuambiwa kuwa kwa kila lisaa la binti, hakosi kulitaja jina langu kwenye kinywa chake

Nimezushiwa na sifa ambazo si za kwangu, jana Jumapili nimekutana na binti, ile kuniona kainama kwa aibu aibu sana, ile kumwambia Hello! Habari! Binti kaitikia kwa sauti ya upole na tabasamu. Ingawa alikuwa kwenye mood ya kuendelea kusikiliza maneno yangu, niliamua kumlia buyu

Sasa ni mimi tu. Nishindwe mwenyewe. Ni humu tu! Lilikuwa ni suala la muda. Wacha nipande kilingeni kunyoosha misuli iliyoangamizwa na mijisabuni kwa ajili ya kuanza rasmi kazi ya kuusukuma utepe

Habari za Asubuhi...
 
Kilichobakia ilikuwa ni kumlia tu nyeto huku nikimtazama kupitia dirisha la chumba changu
 
Demu hata haujamtongoza unaanza mbwembwe, wakati wewe unamlia nyeto kuna muhuni anamla kavukavu
 
Sasa kumbe ht hamjaongea, bado unamuonea aibu 😂
 
Back
Top Bottom