King Jody
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 1,834
- 3,456
Nakumbuka tulikwa kwenye mkesha wa mwaka mpya miaka kadhaa iliyopita,
Nilikuwa mimi na rafiki zangu wanne, Tulikuwa tunatembea huku tunaimba nyimbo za mwaka mpya,
Ghafla tukaona mtu akiwa juu ya mnyama sijui alikuwa mnyama gani yule, alikuwa kwenye spidi kali mno,
alipotufikia alishika breki kali na kugeuka alipotoka, lilikuwa tukio la ghafla bin vuup tulishtuka sana,
Tukabaki tumeduwaa, Mwisho tukaanza kucheka tukaendelea na shamrashamra za kuupokea mwaka.
Kweli dunia ina mambo.