Lililonikera mwaka 2012 ni kuletwa kwa samaki wa mionzi nchini Tanzania!

Lililonikera mwaka 2012 ni kuletwa kwa samaki wa mionzi nchini Tanzania!

Tango73

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2008
Posts
2,180
Reaction score
1,291
Kitendo cha aliyekuwa waziri wa mali ya sili na utalii kukubali samaki waliokisiwa kuwa na mionzi ya kemikali kutoka japan na kuwaingiza nchini waliwe na wananchi wa tanzania, ni cha kinyama na kiliwa sio cha kibinadamu kabisaa.

Ingawa samaki hao walikuja onekana eti hawana hiyo mionzi, lakini NChi za Ulaya na marekani na midlle east zote ziliwakataa kwa sababu ya uzarendo wao wa kuwajali raia zao. Haibu ya nchi inakuja pale serikali ya japan ilipogundua kuwa, ikitoa hongo kwa baadhi ya maofisa wa kitanzaniatuu, samaki hao watapata soko humu nchini.

Samaki waliingizwa imya kimya na kupelekwa kwa kasi mkoani morogoro na kuanzwa kuuzwa kwa raia mara moja. Yaani kitendo hicho ni cha aaibu sana na kinaonesha sisi raia wa TZ hatuna mlezi kabisaa.

sishangai kuona serikali haifanyi lolote kupambana na bidhaa feki mitaani. Yaani kutotujali raia ni kitendo cha jadi na wala sio cha kushitukizia.
 
issue hiyo ni kweli asilimia zote niliwai kufatilia kwa wakuu,waliona wakikubali samak wana mionz na watu washakula ingekuwa noma yani kingenuka toka kwa raia ivo walisema awana mionzi,lakin moyon roho ziliwasuta sababu ata japan hao samak walikatazwa.
inasikitisha sana lakin ndio hivyo imetokea
 
Back
Top Bottom