L Legrema2050 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2021 Posts 606 Reaction score 708 Jun 24, 2021 #101 Hata asipomfanyia interview, bado Nandy ana shine na ana mafanikio kuliko huyo mtangazaji uchwara
Turnkey JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 7,359 Reaction score 5,837 Jun 24, 2021 #102 havanna said: Duh kwani wasafi fm ni ya kusaga au Diamond? Hao wanatengeneza mabifu kijingajinga ili wavute mashabiki kwenye majukwaa yao tu Click to expand... Mke wa Kusaga
havanna said: Duh kwani wasafi fm ni ya kusaga au Diamond? Hao wanatengeneza mabifu kijingajinga ili wavute mashabiki kwenye majukwaa yao tu Click to expand... Mke wa Kusaga