Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Kusaga ni janja janja sana. kahodhi frequency nzuri nzuri kibao za hapa Dar.Ofcoz ni watu wawili tofauti Ila under the same roof. Hata mtaji na plans unakuta ni za wao wawili wanafanya hivyo ili kukamata frequency za broadcast na biashara pia.
Hata 88.5 inayotumiwa na Wasafi Dar ilikuwa ya kwake wakati huo kulikuwa na kiredio uchwara kinapiga muziki tupu kinaitwa Classic fm. Vile vile ilikuwa inasikika BBC World service.
Amehodhi frequency kupitia viredio utasikia City fm, Classic fm, Coconut fm mara The Beat fm.
Yaani hata Azam walipewa 143... frequency zote za 88 na 99 zimeisha.