Lill Ommy: Siwezi kamwe kumtafuta Nandy kwaajili ya mahojiano, namuona analandalanda tuu mtaani

Lill Ommy: Siwezi kamwe kumtafuta Nandy kwaajili ya mahojiano, namuona analandalanda tuu mtaani

Sijaona hoja yoyote ya msingi zaidi ya kutumia nguvu nyingi kuaminisha watu kuwa Wasafi Fm ni ya Kusaga, kitu ambacho umekuwa ukikifanya katika kila nyuzi unayoanzisha. Hata hivyo amini usiamini, Wasafi media inakuwa kwa haraka kupitia mgongo wa brand ya Diamond Platinumz na mashabiki wake, hela alizoweka pale mke wa Kusaga si chochote bila brand ya Diamond Platinumz na mashabiki wake.
MKUU KWANI NIMEANDIKA UONGO AU UPENDI KUSIKIA TUU UKWELI? KWANI MAMA KUSAGA NA DIAMOND NANI ANA HISA NYINGI HAPO?
 
MKUU KWANI NIMEANDIKA UONGO AU UPENDI KUSIKIA TUU UKWELI? KWANI MAMA KUSAGA NA DIAMOND NANI ANA HISA NYINGI HAPO?
Hawatak kukubali ukweli....waweke ushabiki pemben.Wasafi ni ya Kusaga.
 
KIJANA JIFUNZE KUSOMA NA KUTAFUTA HABARI SIO KILA SIKU ULETEWE
Mkuu JK Sio Miongoni Wa Wamiliki au Wenye Hisa Kwenye Kampuni Ya Wasafi Media Bali wamiliki/Wenye Hisa Ni
1. Juhayna Zaghalulu Ajmy ana 53%
2. Nasibu Abdul Juma (Diamond) ana 43%
3. Ali Khatib Dai ana 2.%
 
MKUU KWANI NIMEANDIKA UONGO AU UPENDI KUSIKIA TUU UKWELI? KWANI MAMA KUSAGA NA DIAMOND NANI ANA HISA NYINGI HAPO?
Sasa Kwa hisa Hizi za 45% Diamond ana nguvu hizi:

1.Kuwepo kwenye Bodi wa kampuni ya Wasafi (hapa pia ni c.e.o wa Wasafi)
2.Kushiriki katika kutengeneza sera za kampuni
3.kuhusishwa katika mijadala ya mienendo ya kifedha katika kampuni
4.uwezo wa kuuzianna bidhaa na kampuni ya wasafi
5.uwezo wa kupachika mameneja katika kampuni ya wasafi media
6.kuweza kutoa ushauri wa kitaaluma unaoweza kuisaida wasafi media

Tukirudi katika mapato atayopata Diamond ni kwamba mfano wasafi media imetengeneza faida inayobakia kwa wanahisa ya bilioni 1 basi Diamond anachukua milioni 450 huku kusaga akichukua asilimia 53 (milioni 530) na nyingnine asilimia 2 (milioni 29 ) itaenda kwa mwengine.
 
mkuu punguza munkari hiyo ni ya kusaga amempa hela mkewe aanzishe biashara... kunywa maji yenye uvugu vugu kupunguza hasira
Angalia
JamiiForums-1458032900.jpg
 
Weka basi source ya habari yako...Tambwe hawezi ongea huo ujinga

Nb..nafkr lengo lako ni kusema wasafi ya kusaga tu.
Jamaa kiazi kweli , taarifa haina source , lengo ni kuonyesha kuwa Wasafi ni ya kusaga 😀😀 Diamond anawanyampisha Sana watz ...
 
Sasa unabisha nini? Huyo wa kwanza ni mke wa Kusaga au napo unataka kubisha?
Mkuu JK Sio Miongoni Wa Wamiliki au Wenye Hisa Kwenye Kampuni Ya Wasafi Media Bali wamiliki/Wenye Hisa Ni
1. Juhayna Zaghalulu Ajmy ana 53%
2. Nasibu Abdul Juma (Diamond) ana 43%
3. Ali Khatib Dai ana 2.%
 
Mkuu JK Sio Miongoni Wa Wamiliki au Wenye Hisa Kwenye Kampuni Ya Wasafi Media Bali wamiliki/Wenye Hisa Ni
1. Juhayna Zaghalulu Ajmy ana 53%
2. Nasibu Abdul Juma (Diamond) ana 43%
3. Ali Khatib Dai ana 2.%
Mkuu pole sana huyo wa kwanza hapo ndio kusaga na kachukua hela kule clouds media na kaanzisha biashara nyingine ambayo ni wasfi media... pole sana kwa kuleta taarifa bila kuilewa... kunywa maji ya uvugu vugu
 
Duh kwani wasafi fm ni ya kusaga au Diamond?
Hao wanatengeneza mabifu kijingajinga ili wavute mashabiki kwenye majukwaa yao tu
Mke wa Kusaga ndiye mwenye share kubwa zaidi ya Diamond.
 
Kwa Hyo Mke Wa Kusaga ambae Ni Juhayna Zaghalulu Ajmy Ndio pia anaitwa Kusaga hauoni kama Hawa Ni Watu Wawili Tofauti Mkuu
Ofcoz ni watu wawili tofauti Ila under the same roof. Hata mtaji na plans unakuta ni za wao wawili wanafanya hivyo ili kukamata frequency za broadcast na biashara pia. So technically ni watu wawili tofauti Ila kumbuka mrithi wa mali ya mke ni mume wake na mrithi wa mali ya mine ni mke wake.

Hiyo idea na uwezo wa kumiliki kituo cha broadcast chenye Ushindani mkubwa kwa muda mfupi namna hii wamepanga kabisa maana otherwise clouds ingeweza kuanguka kibiashara ndio maana hata staff wanajitahidi wale wazuri wasikimbilie media nyingine at least waende wasafi.
 
Back
Top Bottom