idumu
Member
- Jun 5, 2009
- 44
- 1
Issue ya Lilondo ni mwendelezo wa UFISADI HAPA NCHINI, Mheshimiwa Mwinyi ndo aliingiza ufisadi na Mwl Nyrere KUFUMBA MACHO MASUALA AMBAYO MWINYI ALIYAFANYA. Mwinyi aliwapa waarabu na kumiliki sehemu huko LILONDO ARUSHA NA HAKUNA MTZ ANAYEWEZA KUINGIA HUKO. Ukitaka waandishi wa habari mko wapi??Mjiri huko mjionee falume za kiarabu wanakula kuku na mtz harusiwi kuingia huko.
Mwenye data nzuri azimwage hapa me nimepata hizi kupitia kwa mdau aliyeko huko.
Mwenye data nzuri azimwage hapa me nimepata hizi kupitia kwa mdau aliyeko huko.