Limenijia Tu...

Well it depends on your past experience, ....but kwenye ma foolish age yale unaweza ukapata majibu sahihi maana pale ndo kwanza unaweza kugundua hisia zako ziko vipi, wale wenye ma degree ya infidelity na ma PhD ya kuwa na watano saba hawatakupa jibu sahihi...
 
ok ngoja niwe serious kidogo

je nyinyi wanawake mnaopata hisia zote hizo za ajabu ajabu

huwa mnawaeleza waume zenu?

binafsi ningependa jua kuwa una hisia kali hivyo na mimi
 
ok ngoja niwe serious kidogo

je nyinyi wanawake mnaopata hisia zote hizo za ajabu ajabu

huwa mnawaeleza waume zenu?

binafsi ningependa jua kuwa una hisia kali hivyo na mimi


sijui kuhusu waume
lakini ukikutana na yule
ulie kuwa una muwazia wengi hatusemi...
Tuna mezea tuu
 
ok ngoja niwe serious kidogo

je nyinyi wanawake mnaopata hisia zote hizo za ajabu ajabu

huwa mnawaeleza waume zenu?

binafsi ningependa jua kuwa una hisia kali hivyo na mimi

Wanawake mpooooooooooooooooooooo?????????
Sasa kama una hisia then humwambii mwenza wako unataka nani akazisatisfy????????????
 
Halafu MJI amekimbia mbona simuoni!
 
Muwashawasha kama sija m do, nikimalizana naye hata mshipa wa fahamu hautingishiki.
 
Mi sionagi mabadiliko...au sijui ndo sijapenda!!
 
Naona umekumbuka kweli ulivyo kuwa mtoto enzi hizo lol mi huwa sipendi kukumbuka niliko toka
Mh unataka nambia kuwa mapenzi huwakumba watoto tu?..........ah usitudanganye bana!
 
Kumbe.........hata wewe unafanya? Huwa najiuliza hili swali nacheka tu hasa nikiona mwanamke mjamzito........yani napata picha siku hio ya tukio halafu namwangaliaaaa, kisha nacheka na kuishia kujichekea mwenyewe moyoni na kusema kwamba hivi kumbe huyu nae amefanya!!! Asante mama kwa kunizaa wa mwisho maana...........
 
Mh unataka nambia kuwa mapenzi huwakumba watoto tu?..........ah usitudanganye bana!

Mapenzi ya utotoni ndo mazuri ndo hayo uliyo yakumbuka namaanisha kwamba ulivyo kuwa unajifunza kupenda
 
Nasikia wanawake tumweumbwa watu wa hisia zaidi labda ndio maana inakuwa hivi.Na mara nyingi tumekuwa na mapenzi ya kweli na ya dhati na hasa kama hulka yako ni kuwa na mwenza mmoja(yaani hubadilishibadilishi wanaume),lazima hisia zitazama kwake.Ni jambo zuri kwani kuna wanawake hawana hisia hata kupenda hawawezi.Huna tatitizo lolote ila jitahidi kubalance uweze kutimiza na majukumu mengine.

Kubwa kuliko yote "MWELEZE HUYO UNAYEMFEEL" ili ajue na kulifanyia kazi.Hakuna asiyependa KUPENDWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…