Limenijia Tu...

Limenijia Tu...

Unashangaa nini sasa?
Hijui koni ya azam??

Nizijue nafanya kazi azam mimi???

Back to topic....na wewe hua unapata kiwewe ukipenda au ni kimya kimya style?
 
hahahahahaha MJ1 bwana
mie napendaga sana mambo yako
kwanza kabisa hiyo ya kukumbatia mto mmmhhhh
ndio tiba yangu..

lakini kikubwa mie trip za chooni haziishi

kila akini jia kichwani mie naenda kukaa chooni..
natabasamu nacheka chooni nikitoka hapo nakula ngumu ya jeshi..

na kingine napenda ku dress up na kujiangalia kwenye kiooo

fantasize akiwa hapo aniambia mmhh hiyo imekaa vizuri,
hiyo rangi nzuri, yaani ntatoa nguo zote na viatu vyote
halafu na pretend yeye ndio kioo mmmmhhhh
mwenzangu nashukuru saa nyingine ni Mungu tu
ajualo tufanyalo na tuwazalo ...
Duh afrodenzi shairi lako zuri eeh! nimelipenda mno!!!!!
 
utackia

'mapenz yanutesa moyo wee
mapenz yanaumiza moyo wee
uko mbali na masogangwee
njoo u2lize mtima wangu ee


also

"i'll be ur frnd
i'll giv u hope
kipng ur faith
wen tc gone
da 1 u shuld col
wen standing here ol aloneeee
n i will tek
u in my arms
i'll hold u ryt where u blong
till da day my lyf z thruuu
dic i promic u
ova n ova i say
without uuuu
in my lyf baby
i wuldn't b livng at ol"
 
Nachungulia dirishani ooh
Naona ni mvua inanyesha ooh
Nauliza mpenzi utarudi lini eh
Mateso yanitoke nifurahi nawe
Ingawa umeondoka ewe dada
Umeniachia
Machungu tele.......
.
na mwingine:

Kupitapita kwake mtaani kunanishtua,
Sura yake ya kijapani na mwendo wake vinanizingua,
iye iye iye
Nimempenda msichana akikubali tufunge ndoa
iye iye iye
Nitamtuma mshenga akaulize wazazi wake,
Sherehe kubwa sana tutaifanya nyumbani,
Majibu mazuri nikipata
Hapo nitapokubaliwa....
RIP MBARAKA MWINSHEHE MWALUKA

Bishanga umenikumbusha mbaali mwe.................... hasa huu wimbo wa pili ninaupendaje?!
 
ok ngoja niwe serious kidogo
je nyinyi wanawake mnaopata hisia zote hizo za ajabu ajabu
huwa mnawaeleza waume zenu?
binafsi ningependa jua kuwa una hisia kali hivyo na mimi


........HAhahahhaha we The Boss usinambie hujawahiambiwa hata zile za kiusanii?? LOL
 
AAAHHHHHH... HUHUHUUUUUUUUUUUUUUU.... SSSSSSSSSSSSSHHHHHHHHHHHHH...
:majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7: ......... THE PARTY CONTINUES

haina majtrooooooooooo, yani dah!!
 
mhn.....................hapa.............ngoja nikapike kwanza
 
Nakumbuka enzi hizo za udhaifu wa kijinga,huwa nacheka ila nachukulia hizo enzi kama shule,ila madem bana walitusumbua sana!
 
mapenzi ni feelings so haijalishi jinsia gani. Mwenzenu zinaponifika humpigia simu baby japo nipate sikia sauti yake!
 
Palau wala wewe me nikunawishe. Naona mnaajisimulia jins mnavyoshkwa bambataa kudungwa hzo sindano na nes.
 
Mungu wangu kumbe mnafanyaga vituko namna hii!!:becky: Mj1 mihuwa najisikia kuimba wimbo "Tazama ramani"
 
...lol...wewe kweli charger. Nadhani hata mimi am fully charged. Hapa naimba Liberian Girl wa Michael Jackson..tena kwenye kibwagizo naimba kwa sauti;

"...nakupenda pia, nakutaka pia...mpenzi wee!"
 
Orayt..................nakubali kuwa hili sredi limenipita na sina jpya la kuchangia.

Sredi Klozdi!
 
nilikuwa mlevi sana kipindi hicho.....!mambo mengi yaliyotokea yalikuwa kama ''ajali hivi''....and trust me,EVERYTHING WORKED OUT!AND NOW I AM HAPPIL MARRIED
 
MJ1....

Mimi hapa....I feel like the whole world is mine!
Like I own everything...yaani the moon, the stars, the sun...!
Like there is nothing that I couldn't do...
I don't know...is that love? Or am I in trouble...?!!

*I have missed u...pamoja na ndugu zetu wote!
 
Back
Top Bottom