Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Unashangaa nini sasa?
Hijui koni ya azam??
Nizijue nafanya kazi azam mimi???
Back to topic....na wewe hua unapata kiwewe ukipenda au ni kimya kimya style?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unashangaa nini sasa?
Hijui koni ya azam??
Hehhehhe ...baki hivyo hivyo mpenzi maana nasikia ndio raha ya kupenda!
Duh afrodenzi shairi lako zuri eeh! nimelipenda mno!!!!!hahahahahaha MJ1 bwana
mie napendaga sana mambo yako
kwanza kabisa hiyo ya kukumbatia mto mmmhhhh
ndio tiba yangu..
lakini kikubwa mie trip za chooni haziishi
kila akini jia kichwani mie naenda kukaa chooni..
natabasamu nacheka chooni nikitoka hapo nakula ngumu ya jeshi..
na kingine napenda ku dress up na kujiangalia kwenye kiooo
fantasize akiwa hapo aniambia mmhh hiyo imekaa vizuri,
hiyo rangi nzuri, yaani ntatoa nguo zote na viatu vyote
halafu na pretend yeye ndio kioo mmmmhhhh
mwenzangu nashukuru saa nyingine ni Mungu tu
ajualo tufanyalo na tuwazalo ...
Nachungulia dirishani ooh
Naona ni mvua inanyesha ooh
Nauliza mpenzi utarudi lini eh
Mateso yanitoke nifurahi nawe
Ingawa umeondoka ewe dada
Umeniachia
Machungu tele.......
.
na mwingine:
Kupitapita kwake mtaani kunanishtua,
Sura yake ya kijapani na mwendo wake vinanizingua,
iye iye iye
Nimempenda msichana akikubali tufunge ndoa
iye iye iye
Nitamtuma mshenga akaulize wazazi wake,
Sherehe kubwa sana tutaifanya nyumbani,
Majibu mazuri nikipata
Hapo nitapokubaliwa....
RIP MBARAKA MWINSHEHE MWALUKA
ok ngoja niwe serious kidogo
je nyinyi wanawake mnaopata hisia zote hizo za ajabu ajabu
huwa mnawaeleza waume zenu?
binafsi ningependa jua kuwa una hisia kali hivyo na mimi
Duh afrodenzi shairi lako zuri eeh! nimelipenda mno!!!!!
........HAhahahhaha we The Boss usinambie hujawahiambiwa hata zile za kiusanii?? LOL