MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
- Thread starter
-
- #81
...unalo hilo! ...umepatikana ee? usinambie nawe ushakumbwa na dhoruba ya mapenzi.
Hongera Mwj1...LOL!
Nasikia wanawake tumweumbwa watu wa hisia zaidi labda ndio maana inakuwa hivi.Na mara nyingi tumekuwa na mapenzi ya kweli na ya dhati na hasa kama hulka yako ni kuwa na mwenza mmoja(yaani hubadilishibadilishi wanaume),lazima hisia zitazama kwake.Ni jambo zuri kwani kuna wanawake hawana hisia hata kupenda hawawezi.Huna tatitizo lolote ila jitahidi kubalance uweze kutimiza na majukumu mengine.
Kubwa kuliko yote "MWELEZE HUYO UNAYEMFEEL" ili ajue na kulifanyia kazi.Hakuna asiyependa KUPENDWA.
Hamna lolote....mi ni ngangari sana ndo maana!Mishipa ya stimu itakuwa imekufa ganzi inahitaji kuzibuliwa
Naitumikia adhabu namba moja
MJ1,
Sorry, I've never been in love!
Au ndoto za mchana komredi maana nazo dah ni noma inakuwa mwendelezo mpaka night
Eti ka-Lizzy bado hakajapenda........teh teh teh
Lizzy ,Lizzy natamani ningekuwa kama wewe mimi huwa na ugonjwa wa kupenda lol:confused2:
Hamna lolote....mi ni ngangari sana ndo maana!
Hehhehhe ...baki hivyo hivyo mpenzi maana nasikia ndio raha ya kupenda!
Au labda hiyo ndo style yangu....enhe na wewe hua unakesha ukikenyua kwa kujua utakua nae kesho au unatabasamu tu kama huna akili nzuri simu yake ikiingia?!
Dayyyym...yawezekana nilipewa umbo na sura ya kike ila hisia za kiume!!!Nenda kamcheck Dr. umeona juu hapo wanawake wenzio walivyo na feelings
Akili huniruka nionapo Skype!! Ni yeye tu ndo hunipigia toka Skype!
Dayyyym...yawezekana nilipewa umbo na sura ya kike ila hisia za kiume!!!
Kweli mama umenena tupo pamoja lakini kwa upande wa sisi wanaume hatupo hivyo.
Kwa mfano unapo mtongoza mwanamke siku ya kwanza anakataa na atakaa hata mwezi.
Lakini baada ya kumlisha maneno ya asali yenye radha ya chumvi anakubali kuwa na wewe
Sasa akisha kubali ndo zinaanza feelings hizo mwisho wa siku mmoja anamkinai mwenzake
Ladha ikisha pungua na kuisha dah dah[/QUOT
Nasikia wanaume huwa mnatamani kwa kuona tu na baada ya that move,unaweza ukaanza kufall in love au kuchefukwa
Huku siruhusiwi kucheka asee.....dah....MJ1....
Ngoja natabasamu kidoooogo.....kabla sijashikwa......:smiling:
Hahhahha....kwahiyo ndo makutano yenu hayo??!Mna raha....!
Kweli mama umenena tupo pamoja lakini kwa upande wa sisi wanaume hatupo hivyo.
Kwa mfano unapo mtongoza mwanamke siku ya kwanza anakataa na atakaa hata mwezi.
Lakini baada ya kumlisha maneno ya asali yenye radha ya chumvi anakubali kuwa na wewe
Sasa akisha kubali ndo zinaanza feelings hizo mwisho wa siku mmoja anamkinai mwenzake
Ladha ikisha pungua na kuisha dah dah[/QUOT
Nasikia wanaume huwa mnatamani kwa kuona tu na baada ya that move,unaweza ukaanza kufall in love au kuchefukwa
Ukisha mega ndo kipimo tosha cha sisi wanaume je huyu mtu umpende au ndo crap uchape mwendo
Raha ya mchezo ni kuchezeshana sasa kama mchovu basi upendo unaisha unabaki ule wa kukata kiu
Au labda hiyo ndo style yangu....enhe na wewe hua unakesha ukikenyua kwa kujua utakua nae kesho au unatabasamu tu kama huna akili nzuri simu yake ikiingia?!
Hahahahaha Semenya sio? sasa Boy friend si hana sauti kabisa kwako?
Sio kutabasamu tuuu,huwa simu inalazwa kifuani baada ya mazungumzo huku imekumbatiwa na mkono mmoja huku macho yanazunguka kuvuta kumbukumbu nzuri nzuri mpaka usingizi unakupitia!
Hahahahaha Semenya sio? sasa Boy friend si hana sauti kabisa kwako?