It is what it is. ...
Kwan huaga wanakubaliii mpaka wanyang'anywee ndio hubaki na aibuuu looo
Ni kweli hapo atabisha we kama Wema eti ana nyumba ya milion mia nne
Kati ya waongo wema ni namba mojaaaa
Uuuwii mbavu zangu mie..hahahaa....nitarudi next week...kwa sasa Diamond ndo habari ya mujini...
Msanii wa kwanza kuachia video mbili siku ya birthday ya mama yake...!! source H.O.D
Diamond ndiyo muongo kupindukia na fundi wa kuongeza 000 akinunua kitu, eti hurrier 38M? halafu anaficha jina la gari anaita Lexus! Hela hana akubari tu, V8 limemshinda, Masanja analo wala hajitangazi kama yeye.