Lina akanusha kuhongwa gari

Lina akanusha kuhongwa gari

Rich Pol

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2013
Posts
7,874
Reaction score
5,685
Mafanikio! Taarifa ikufikie kuwa staa wa Bongo Fleva, Estalina Sanga ‘Linah' amekanusha stori za madai ya kuhongwa gari jipya analosukuma mjini kwa sasa aina ya Toyota Mark X.

Linah ambaye hivi karibuni alitokea nchini Afrika Kusini kufanya video ya wimbo wake mpya alisema mkoko huo amepewa na kampuni anayofanya nayo kazi ya NFZ.

"Nani kasema nimehongwa gari? Siwezi kuhongwa gari kwani najituma sana kwenye kazi yangu," alisema Linah. Mbali na kumiliki ndinga hilo, miezi kadhaa iliyopita aliwajengea nyumba wazazi wake na sasa anajenga ya kwake.

attachment.php
 
Attachments

  • 1404799055238.jpg
    1404799055238.jpg
    59.5 KB · Views: 1,071
  • 1404799071037.jpg
    1404799071037.jpg
    63.1 KB · Views: 594
  • 1404799088412.jpg
    1404799088412.jpg
    84.8 KB · Views: 571
  • 1404799109083.jpg
    1404799109083.jpg
    91.2 KB · Views: 568
Yule mtoto wa kike bana so vivutio vya uwekezaji anavyo we utabaki kusema kahongwa wkt ikifika jioni unangombania daladala?
 
hahahaa....nitarudi next week...kwa sasa Diamond ndo habari ya mujini...
Msanii wa kwanza kuachia video mbili siku ya birthday ya mama yake...!! source H.O.D
 
Rose mhando aliimba, Fulani ana gari eti amehongwa na fulani, fulani ananyumba nzuri ameeibia kampuni , mwe!
 
Kati ya waongo wema ni namba mojaaaa

Diamond ndiyo muongo kupindukia na fundi wa kuongeza 000 akinunua kitu, eti hurrier 38M? halafu anaficha jina la gari anaita Lexus! Hela hana akubari tu, V8 limemshinda, Masanja analo wala hajitangazi kama yeye.
 
hahahaa....nitarudi next week...kwa sasa Diamond ndo habari ya mujini...
Msanii wa kwanza kuachia video mbili siku ya birthday ya mama yake...!! source H.O.D
Uuuwii mbavu zangu mie..
 
Diamond ndiyo muongo kupindukia na fundi wa kuongeza 000 akinunua kitu, eti hurrier 38M? halafu anaficha jina la gari anaita Lexus! Hela hana akubari tu, V8 limemshinda, Masanja analo wala hajitangazi kama yeye.

Harrier Lexus ndio bei yake ni 35m mpaka 40.
 
Harrier Lexus ndio bei yake ni 35m mpaka 40.

Mkuu 28 na 30 napata vizuri tu, sijui hawa wenzetu wananunulia wapi? Utakuta wanakuambia corolla 15 used wakati 7 au 8 unapata used
 
Back
Top Bottom