Lina awajibu waliomtukana na picha za nusu uchi, asema waafrika asili yetu ni kuvaa majani

Kingezo cha Kuhojiwa na tv media ni kujua kusoma na kuandika...
 
Kasema kweli Waafrica wanajua sana, wamefundiswa kuvaa sasa wanajua kuvaa kuliko walio wafundisha, wameletewa dini sasa wanataka kwenda kuwaubili Wapalestina na Waizirael. Kinacho wasumbua ni Usisi. Sisi wale, wale sisi
 
Reactions: SDG
'Nimezaliwa familia ya watu wenye maadili ya dini,hata napoenda nyumbani huwa navaa Nguo ndefu'
Mwisho wa kunukuu
 
Huyu nae ni kilaza tu,maisha ya kuvaa majani,kutembea umbali mrefu kwa miguu,kuishi kwenye nyumba za nyasi zisizo na huduma kama Mani na umeme,tohara bila ganzi,sio asili ya muafrika,zile zilikuwa zama za mawe,teknolojia ilikuwa bado haijafika huku kwetu,hata hao wazungu,kabla ya teknolojia ya kutengeneza nguo,haijavumbuliwa,nao walivaa mavazi kama sisi,
 
Mwacheni jamani....Mtasababisha atamke zaidi ya hayo,wako wawili Hapo ujue.
 
Reactions: SDG
Sasa kwani unaposema utamaduni wa mwafrika unamaanisha nini? Angalia wamasai, angalia wasandawe, wahadzabe na makabila mengine kama hayo utaelewa Linah anamaanisha nini
 
Kasema kweli Waafrica wanajua sana, wamefundiswa kuvaa sasa wanajua kuvaa kuliko walio wafundisha, wameletewa dini sasa wanataka kwenda kuwaubili Wapalestina na Waizirael. Kinacho wasumbua ni Usisi. Sisi wale, wale sisi
mkuu hii ni kweli yaani wafrica tunajua kuliko waliotufanya kujua tunayoyajua....zaidi nadhani ni ile kitu wanaiita upashukuna=>umbea level ya juu kabsaaa.
 
picha tafadhali...ya hicho kinguo ili nione km ni tamaduni zetu ama la!
 
na masabuli hujibu "pwaaaaa..."
Linah anahis yupo sahihi na amejenga hoja kabisa ETI WALIVAA MAJANI.
Nilidhan angejenga hoja juu ya picha zake za KISENGEREMA.
 
Haya avae majani sasa.
Ukahaba tu umemjaa
Atulize mtumbo huo ,akishusha aendelee na umala.ya kazi kuwajaza watoto waliotumboni laana tu.
Hapo keshokutwa tu utasikia baby shower sijui...

Mungu aniepushe na huo wendawazimu

That is tooooo harsh
 
Huyu mkinga ndio wale wale wa uongooo kama wa huku makete badilika mama
 
Avae basi majani ili aitangaze vyema afrika yake
 
Asili yetu kuwa uchi, jing a kabisa Linah, umewahi ona mtu kazaliwa kavaa majani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…