eddy brown JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 414 Reaction score 314 May 16, 2017 #41 Mpaka leo kuna baadhi za kabila Afrika wanatembea robo uchi kabisa.Tuache unafiki.
124 Ali JF-Expert Member Joined Apr 25, 2010 Posts 7,813 Reaction score 5,514 May 16, 2017 #42 Kuna watu hamna huruma kabisa nyie !ina maana wote hamjui viruko vya waja wazito? Watu tushadaiwa mafenesi sio msimu wake tena usiku wa manane! Asamehewe tu roho ya mimba hiyo atatamani kila jambo !
Kuna watu hamna huruma kabisa nyie !ina maana wote hamjui viruko vya waja wazito? Watu tushadaiwa mafenesi sio msimu wake tena usiku wa manane! Asamehewe tu roho ya mimba hiyo atatamani kila jambo !