Lina awajibu waliomtukana na picha za nusu uchi, asema waafrika asili yetu ni kuvaa majani

Lina awajibu waliomtukana na picha za nusu uchi, asema waafrika asili yetu ni kuvaa majani

Mpaka leo kuna baadhi za kabila Afrika wanatembea robo uchi kabisa.Tuache unafiki.
 
Kuna watu hamna huruma kabisa nyie !ina maana wote hamjui viruko vya waja wazito? Watu tushadaiwa mafenesi sio msimu wake tena usiku wa manane! Asamehewe tu roho ya mimba hiyo atatamani kila jambo !
 
Back
Top Bottom