Mngejaribu kusoma vizuri kwanza.
Linah kasema kua huyo jamaa yake alikua na urafiki na wema tokea walivyokua kwenye mahusiano.Ndio maana hakuwatilia shaka hata walipokua wanatoka out pamoja (wema & kombo) kwani alidhani ni marafiki wa kawaida tu.
Ila baada ya kukosana kwao hadi wakaachana sasa jamaa anatoka na wema.
Hata kama ningekua mimi lazima ningeumia maana hawa lazima walikua wapenzi hata kabla jamaa hajaachana na linah.
Akapime na ngoma
Mimi wanaonishangaza zaidi ni washabiki wake Wema hivi wanakuwaga ni wazima wa akili?
Mmmh,yule mbona zaman tu binamu
Lina ana kimavi(gundu),aliachika na amin sasa kaoa,saiv kaachwa tena na jamaa ake atamuoa wema.
Hii kweli bongo.. yan yule jamaa kuruka kutoka juu ya jukwaa la uwanja na kwenda kumkumbatia kaka ndo kawa super star:what::what:
huyo Luis ni Modo eti niliona anapiga picha na visurual flan hivii
Atakuwa amekuja kutafuta fans wa Tanzania huyo ajulikane kukuche
Hebu fungukeni vizuri basi na wenzenu tuelewe huko insta nimepahama siku hizi.
Huyo Luis ni nani? Na ni raia wa nchi gani?
Hapo hotelini walienda fanya nini na madame?
Yaani hiyo hotelini ni baada ya siku ya insta pati ya wikiendi iliyopita.
Soma kwa link hii maana wamecopy huko wadau naogopa hata kurusha ma screen shot yaliyojaa maneno machafu humu, watu wanavyompa points ila wanatukanaaa khaaaaaa
http://www.globalpublishers.info/m/blogpost?id=5398006:BlogPost:4005259
Huyu inabid nikamfollow insta kwa kweli, khaa nimeshindwa tabia, kiboko ya team mbwa mwitu, huyu jeshi la mtu mmoja, ngoja nikaunganishe nguvu
Hivi bado kuna watu wazima na akili zao wanafuatilia haya mambo ya wasanii wabongo ambao hawana kitu kichwani zaidi ya mapenzi tu..huyu kachukua bwana was huyu Mara huyu cjui kafanya hiki.....kweli MNA muda wa kuchezea
Walimshatikiaga acc yake ikafungwa ndio nimekuta juzi amesharudi tena.