sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Mngejaribu kusoma vizuri kwanza.
Linah kasema kua huyo jamaa yake alikua na urafiki na wema tokea walivyokua kwenye mahusiano.Ndio maana hakuwatilia shaka hata walipokua wanatoka out pamoja (wema & kombo) kwani alidhani ni marafiki wa kawaida tu.
Ila baada ya kukosana kwao hadi wakaachana sasa jamaa anatoka na wema.
Hata kama ningekua mimi lazima ningeumia maana hawa lazima walikua wapenzi hata kabla jamaa hajaachana na linah.
At least leo wew mrembo umeongea vizuri
Any way wema hana akili..