mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
siku bongo movie na bongo fleva wakiamulishwa na serikali kupima ukimwi wazi wazi kabla ya kupanda ndege hakuna atakayedhubutu kupanda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu kistuli lina nae akwendree huko. Nimeibiwa bwana bwana atakuwa kombo chefuuu
Huyo Lina akajambe mbele mwanaume tangu lini akaibiwa
Ila kajala alivyomuiba CK walimtukana sana, kumbe mwanaume haibiwagi?
Ila kajala alivyomuiba CK walimtukana sana, kumbe mwanaume haibiwagi?
Mtaje huyo rafiki yake, ama la tuamini unataka kufurahisha baraza
Huyo kifupi nyundo anatafuta kiki tu... Na nasikia ana mimba atulie tu asije jifungua kabla ya siku
Pale ishu ilikua BFF ... Kajala and Wema as best Friend bhasiiiii
Alikuwa anatia huruma linah alivyokuwa akiongea mwenyewe, ivi bwana ake ni king kessy anayempost wema au mwinginge?
Mimi nashindwa kujuwa hapa hivi ninani aliye wandanganya kuwa wema ni mwanamke wa manaume mmoja ato uyo niwakupita tu
Ila kajala alivyomuiba CK walimtukana sana, kumbe mwanaume haibiwagi?
Najua basi binamu... Alikua anaongea wapi kwani maana nimesoma insta na huku tu
Najua basi binamu... Alikua anaongea wapi kwani maana nimesoma insta na huku tu
Alihojiwa clouds ala za roho, ila nasikia wema nae ataongelea, maana alipigiwa simu na diva akasema yupo masaki anapata dinner, kwa mujibu wa linah ni kwel wema anatoka na huyo mwanaume, yani anatia huruma, kawa mpole
Mi namshauri tu aurudie ule wimbo wa sheila amwimbie wema aiseh, maana aliumia sana yani