Radhia Sweety
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,433
- 1,771
amesubiri ametafuniwa ye akaishia kumeza af unaita ubunifu.huo ni udhaifu
Sijaelewa...weka picha atleast.
sweety eeh tuweke sawa kidogo wengine bado chenga hatujaelewaEe bwana eeeee! Hilo ni bonge la ubunifu usipime babakee. Hapo nakupa tano kwa mara ya kwanza. Mwanzo mwisho mpelampelaaaaaaa! Umetishajee mamake.
hawasomeki au?...some people bwana.:wacko:
hawasomeki au?
Ee bwana eeeee! Hilo ni bonge la ubunifu usipime babakee. Hapo nakupa tano kwa mara ya kwanza. Mwanzo mwisho mpelampelaaaaaaa! Umetishajee mamake.
mimi kwa upande wangu ile nyimbo sijaipenda kwasababu zifuatazo.
Kwanza anaimba nje ya key, yani beat na sauti havivaani yeye anaimba key ya juu zaidi ya key so vocal inakuwa kama inaelea flani.
Pili sijaona kama ameitendea haki nyimbo kwakuwa still nyimbo ya dbanj ukiringanisha na ya reena ya dbanj iko juu, ningependa zaidi kama ya reena ingekuwa nzuri zaidi au angeongeza ubunifu zaidi.
Ni hayo tu.
amesubiri ametafuniwa ye akaishia kumeza af unaita ubunifu.huo ni udhaifu
mimi kwa upande wangu ile nyimbo sijaipenda kwasababu zifuatazo.
Kwanza anaimba nje ya key, yani beat na sauti havivaani yeye anaimba key ya juu zaidi ya key so vocal inakuwa kama inaelea flani.
Pili sijaona kama ameitendea haki nyimbo kwakuwa still nyimbo ya dbanj ukiringanisha na ya reena ya dbanj iko juu, ningependa zaidi kama ya reena ingekuwa nzuri zaidi au angeongeza ubunifu zaidi.
Ni hayo tu.
wewe ukitafuniwa...ukawekewa mdomoni...ukaambiwa haya sukuma iende tumboni...utaweza?
za masiku mwanayumba ummu kulthum